PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwahiyo una lipi la kuwaambia viongozi ambao huwa wanajibu humu jf? Wangapi wapo jela kwa kesi za mtandaoni? Na kwanini ufiche id yako?
 
Tunaipongeza Serikali kwa kudumisha Demokrasia nchini.

Raia kuamua Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni Haki yake.
Unaandika kwa aibu. Wewe ndiye mustakabali wa nchi. Ndiye mwenye nchi kuliko wananchi wenyewe
 
Nao wana haki ya kusapoti chama na mgombea wanayempenda.
 
Huna akili,watumishi wa umma wanasimamishwa kazi na hata kufukuzwa kwa matendo yao ya sirini yanapoleak mitandaoni,serikali inasikiliza mitandao ndo maana wao pia wapo kwenye mitandao na wanapost,kwanini ukiwa ccm unakuwa na akili za kuvuka barabara tu
 
No reform no election!!
 
Hivi wale wanaharakati wa Kenya na Uganda walizungumzia wapi kuwa walitendewa ukatili? Je kamanda wa Polisi Jumanne alijibu kwa barua au kupitia vyombo vya habari na mitandao?
 
Binafsi sina ushabiki wa ku follow hao wasanii wala watawala wa sisiem,sipo ccm wala chadema.ila kinachoendelea nchini nasimama na NO REFORMS NO ELECTIONS.
 
Kwa
Kwaiyo mtandaoni wanaongea ni mangombe siyo watu eti eeh kenge mwenzangu niambie unataka waongee kutoka wapi
 
Husijisahaulishe kwamba hao walioko mitandaoni ndio hao hao Raia walioko mitaani, na wala sio Robot au Mazombi... Jifunze kuheshimu nguvu ya mitandao tena katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali.... Dunia ya sasa hivi haiitaji kukutana kuhamasishana, vitu vinapikwa na kupakuliwa mitandaoni.... umesahau Trump karudi vipi madarakani, umesahahu Gen Z Kenya wameitishana vipi kufanya maandamano.... hata siku moja usidharau eneo lolote mtu analoweza kukutana na watu na kupanga mikakati....

Hao viongozi kama kina makonda, kilichomkosesha ubunge ni nini, kama sio mitandao... ukiona watu wanakukataa mitandaoni ukikutana nao mitaani wakakuchekea basi jua uhalisia ni kuwa wanakunafikia tu, lakini ukweli ni wamekukataa.... hawakuambii usoni kwa sababu wanaogopa nguvu yako uliyonayo au wasije kutekwa au kuuwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…