Mmh tuwaache walale , sasa pete inavalishwa bila ndugu kuwepo au ndo mambo ya UK ??
Yes kijana
warumi jina tu mkuu, radha bado ipo na hilo ndo la muhimu, ulipotelea wap?
Nipo nipo around bana !
U busy busy sana ! Kaka !
Ila nilicheka sana yule punga aliyevaa nguo suruali na tuviatu twa kike ! Shoga yake diamond !
Sijui alifikiria nini aisee ! Yani siku zinavyokwenda Usela unapotea kabisa !
Mwingine nae kaandika Heading ya Kike !
''Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana''
kazi ipo
Ommy siku iz kapanda bei , naona anakimbizana na bwa mdog dai , kutwa ulaya Sijui anafanya show au nn , naona mambo yake yanabadilika taratibu Sijui nyimbo gan hyo ambayo hatuijui inayayo hit sana ulaya kuliko bongo , mana kutwa ughaibun kufanya show , show zenyew hawatak kutuwekea you tube