Hatimaye Wastara apata mchumba London avishwa Pete

Nilishangaa kuona jana wameibanua ile Warumi orijino !

Naona Maisha yanaenda ila !

warumi jina tu mkuu, radha bado ipo na hilo ndo la muhimu, ulipotelea wap?
 
Last edited by a moderator:
Nipo nipo around bana !
U busy busy sana ! Kaka !

Ila nilicheka sana yule punga aliyevaa nguo suruali na tuviatu twa kike ! Shoga yake diamond !

Sijui alifikiria nini aisee ! Yani siku zinavyokwenda Usela unapotea kabisa !

Mwingine nae kaandika Heading ya Kike !
''Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana''

kazi ipo

Ommy siku iz kapanda bei , naona anakimbizana na bwa mdog dai , kutwa ulaya Sijui anafanya show au nn , naona mambo yake yanabadilika taratibu Sijui nyimbo gan hyo ambayo hatuijui inayayo hit sana ulaya kuliko bongo , mana kutwa ughaibun kufanya show , show zenyew hawatak kutuwekea you tube
 
Hahaaa ! Nyimbo mpya kwa sasa hana kabisa ! Labda kama Anafanyiwa show !

Shoga yake kaachia wimbo ndomboro sijui ! Yaani bora angetoa bila sauti ! Tu !

Ommy siku iz kapanda bei , naona anakimbizana na bwa mdog dai , kutwa ulaya Sijui anafanya show au nn , naona mambo yake yanabadilika taratibu Sijui nyimbo gan hyo ambayo hatuijui inayayo hit sana ulaya kuliko bongo , mana kutwa ughaibun kufanya show , show zenyew hawatak kutuwekea you tube
 
Nipo nipo around bana !
U busy busy sana ! Kaka !

Ila nilicheka sana yule punga aliyevaa nguo suruali na tuviatu twa kike ! Shoga yake diamond !

Sijui alifikiria nini aisee ! Yani siku zinavyokwenda Usela unapotea kabisa !

Mwingine nae kaandika Heading ya Kike !
''Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana''

kazi ipo

Acha kuwasakama mashoga wenzako
 
Back
Top Bottom