Kwa sababu za kiusalama ambazo ziko nje ya uwezo jina lake siwezi kulitaja hapa, lkn ni mtoto wa mama hana lolote anakula benefit (pesa ya watu wasiofanya kazi uk) na kuishi anakaa na dada yake, so ni kama mtoto wake anamlea labda akija wastara itabidi watafute nyumba yao wwnyewe....kama dada kafata pesa hapo kapotea njia ataishia kununuliwa vi jeans na vitop.

wastara si alisema anataka bwana mwenye hummer?
He...hivi anajiuza kweli maana nilisikia tetesi tu
Hummer my ass..! Kwa kipi hasa kwa kuwa yeye kigori na hao watoto wake 3 aliozaa?
Mmh ila naye kafanya haraka mno , au kwa kuwa Mzungu?? Uko London si wameend hata mwezi haujaisha Mara hii kashapata mchumba na pete kavalishwa?? Mmh ngoja ninyamaze wasije kusema warumi kaanza.
Ila yasije kuwa kama ya shilole tu , kapata Mzungu Sijui club full kujishaua mitandaon kapata bwana Mzungu, mwisho wa siku kumbe Mzungu bwabwa aka kiazi, na ni maarufu sana uko marekan kama alivyo aunt bilal apa bongo. Wamewah sana kuchumbiana wangepeana mda kidogo
Hao watoto watatu wote wa Sajuki
Kila mtu na baba yake inasemekana mmoja wa mwana bongo flava solo thang
bond ndo yupi jamani mie c mjui.naomba pichaAlianza baada ya kifo , maana huyo bond mwenyew analiwa tigo sana tu mjini , kinondon nzima wanamjua , na yeye anpenda sana tigo apa town
Mchumba au Kachumba? Anambemenda tu mtoto wa watu, bwana mwenyewe mtoto mdogo tu anaishi na dada yake Bangi mtu tungi tungile wanna be Gangster hahahahah! Naona dogo mwarabu wa mwanza anatafuta kick bongo huko! Yangu
macho Soon mtakuja kuyasikia, wastara kaingia
choo cha kiume hiko...
Hao watoto watatu wote wa Sajuki