Hatimaye Wastara apata mchumba London avishwa Pete

Hatimaye Wastara apata mchumba London avishwa Pete

Kwa sababu za kiusalama ambazo ziko nje ya uwezo jina lake siwezi kulitaja hapa, lkn ni mtoto wa mama hana lolote anakula benefit (pesa ya watu wasiofanya kazi uk) na kuishi anakaa na dada yake, so ni kama mtoto wake anamlea labda akija wastara itabidi watafute nyumba yao wwnyewe....kama dada kafata pesa hapo kapotea njia ataishia kununuliwa vi jeans na vitop.

Mmh hlo jina utanitajia kule PM maana kuna waandish wa shigongo wanahaha kumjua jina huyo Mwarabu , Jana nilisoma kwenye gazeti walishindwa hata kumuelezea n Nani na anafanya nn na wala jina hawalijui
 
Hahahaaaa, kumbe pete ya uchumba!!! Nilidhani ndoa kabisa. Wengi wamevishwa pete za uchumba na kuishia kumegwa tu . Ndoa wameishia kuisikia kwa jirani tu na kutumiwa "kadi ya kuomba mchango wa harusi".

Awe makini sana huyo binti (kama ni kweli)

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kwa sababu za kiusalama ambazo ziko nje ya uwezo jina lake siwezi kulitaja hapa, lkn ni mtoto wa mama hana lolote anakula benefit (pesa ya watu wasiofanya kazi uk) na kuishi anakaa na dada yake, so ni kama mtoto wake anamlea labda akija wastara itabidi watafute nyumba yao wwnyewe....kama dada kafata pesa hapo kapotea njia ataishia kununuliwa vi jeans na vitop.

wastara si alisema anataka bwana mwenye hummer?
 
Aiseee humu nako m/ume ukiwa unachangia sana huchelewi kuitwa BABA SIPITWI,,,ngojeni mukuje nyie wadada wa Mujini ambao Ubuyu ni Sunnah kwenu.
 
Mmh ila naye kafanya haraka mno , au kwa kuwa Mzungu?? Uko London si wameend hata mwezi haujaisha Mara hii kashapata mchumba na pete kavalishwa?? Mmh ngoja ninyamaze wasije kusema warumi kaanza.

Ila yasije kuwa kama ya shilole tu , kapata Mzungu Sijui club full kujishaua mitandaon kapata bwana Mzungu, mwisho wa siku kumbe Mzungu bwabwa aka kiazi, na ni maarufu sana uko marekan kama alivyo aunt bilal apa bongo. Wamewah sana kuchumbiana wangepeana mda kidogo

Wakati wote mimi naamini mke au mume si ndugu,ndugu ni wale uliozaliwa nao na watoto uliozaa na huyo mwanaume au mwanamke,mume na mke wanaishi tu kama kwa mkataba fulani na ndio maana hawakawii kusahauliana pindi wakitengana au pale mmoja wapo anapofariki,kwa hiyo mwacheni tu huyo dada aolewa wenye uchungu ni ndugu wa marehemu yeye na ukoo wake hawana uchungu wowote sababu sio ndugu
 
Kila mtu na baba yake inasemekana mmoja wa mwana bongo flava solo thang

Mi nawakumbuka tu wapambe Wa shemej yetu wa UK akina mayenu kwel sherehe ilinoga , wastara kapata bonge la bwana
 
Mchumba au Kachumba? Anambemenda tu mtoto wa watu, bwana mwenyewe mtoto mdogo tu anaishi na dada yake Bangi mtu tungi tungile wanna be Gangster hahahahah! Naona dogo mwarabu wa mwanza anatafuta kick bongo huko! Yangu

macho Soon mtakuja kuyasikia, wastara kaingia

choo cha kiume hiko...

Mtu Wa 2 unasema kaingia choo cha kiume.kunani?
 
hapo ndio kazidi kuwatia ndimu dada zetu wa kimatumbi kuzidisha size ya kimini nae aotee zali...hehehehe mapowderrr
 
hapo ndio kazidi kuwatia ndimu dada zetu wa kimatumbi kuzidisha size ya kimini nae aotee zali...hehehehe mapowderrr

Mwarabu mwenyew yahaya mmh , kama anatak tu kuishi ulaya sawa ila akitegemea maisha mazuri imekula kwake
 
Back
Top Bottom