Hatimaye Wastara apata mchumba London avishwa Pete

Kama angekuwa na akili angefungua boutique yake aendeshe maisha sio kujiuza kama anavyofanya sasa

Si ana sonara yake pale mwenge , ana kampuni ya filamu, anamilik nyumba n gar sema tamaa tu za kuish maisha expansive
 
Hivi ni kweli? Mwanamke akifiwa na Mme akitaka kuolewa na mwaume mwingine sharit akatembee na MTU mwingine ambaye ana Nia ya kumwoa ili kusudi asije akamuuguza ugonjwa wa malale. Yaani asije kuwa anasinzia hovyo kila Mara.
 
Mh, hapo anakosea so far, angetafuta mwanaume wa kawaida na kuendeleza maisha, kila kitu kina mwisho na hili litaishi vibaya.
 
Naona anakazan tu Ku post picha n Mzungu wake , now naamin n kwel Mzungu kadata , ila may be mungu kampangia maana wastar kapitia mambo magumu n mazito sana kwa mwanamke yeyote kuwez kuhimil n kuvumilia, labda mungu kaamua kumfuta machozi , ki upande mwingine tumuache ale bata , kateseka sana aiseeeh tena zaid ya sana
 
Hivi ni kweli? Mwanamke akifiwa na Mme akitaka kuolewa na mwaume mwingine sharit akatembee na MTU mwingine ambaye ana Nia ya kumwoa ili kusudi asije akamuuguza ugonjwa wa malale. Yaani asije kuwa anasinzia hovyo kila Mara.

Yaan hii uliisikiiaa wapiii aise umenivunja mbavu tu mie kwa hiyo asipofanya hivyo atakua anasinziaaaa?
 
Naona anakazan tu Ku post picha n Mzungu wake , now naamin n kwel Mzungu kadata , ila may be mungu kampangia maana wastar kapitia mambo magumu n mazito sana kwa mwanamke yeyote kuwez kuhimil n kuvumilia, labda mungu kaamua kumfuta machozi , ki upande mwingine tumuache ale bata , kateseka sana aiseeeh tena zaid ya sana

Kwa kweli alepo turaha kama kulia kaliaa mnoo huyu bintii hiv alianza kuliwa tigo akiwa na mmewe au alivyofariki mmewe
 
Alianza baada ya kifo , maana huyo bond mwenyew analiwa tigo sana tu mjini , kinondon nzima wanamjua , na yeye anpenda sana tigo apa town
 
Kwa hiyo Sajuki alifaidi mali yake kwanzaa, halaf Wastara alikua anachepuka kumbee!!??hiv huyo Bond ni nani
 
Alia za kutoka n Jamaa baad ya sajuki kufa, bond alikuwa mtoto wa mujin tu ila sasa ivi yupo kwenye bongo movie na ni mtangazaj wa channel ten action n cut
 
From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako".

Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu
kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment".

attachment.php

Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu sasa wapo London kwa mwaliko maalum na kucheza filamu inayoitwa Ughaibuni(Abroad) ambapo tayari wameanza kuishuti. Tungependa kuwatakia kila la kheri wawili hao .

Mchumba au Kachumba? Anambemenda tu mtoto wa watu, bwana mwenyewe mtoto mdogo tu anaishi na dada yake Bangi mtu tungi tungile wanna be Gangster hahahahah! Naona dogo mwarabu wa mwanza anatafuta kick bongo huko! Yangu macho Soon mtakuja kuyasikia, wastara kaingia choo cha kiume hiko...
 
Eeh kumbe mbongo?? Nilijua mtasha , ebu tupe maubuyu binamu , naona Jana walikuwa wanamhoj sporah show
 
Mbongo tenaa ni mwarabu lkn yule.aliyechanganya na usukuma! Hata akiongea utafikiri katoka ilemela jana, akiolewa ataambulia karatasi kwa ajili dogo karatasi anayo alikuja UK kama miaka 8 iliyopita fresh from mwanza Town aliletwa na dada yake mmoja, kuna wakati alijitia kwenye makundi ya wahuni wa UK ugangster kwa sana dada yake akaona isiww tabu akamrudisha bongo, akapigwapigwa na jua kidogo huko alipoona kanyooka kidogo akamrusha tena UK ingawa bado anajifanya msela nondo bangi kwa saana lkn uhuni sio kama kipindi cha mwanzo.....
 
Eeh si tukajua dada yetu kapata bonge la bwana kumbe majanga, anaitwa Nani? Sasa uko UK anafanya issue gan? Ila mpunga anao inaonyesha au ndo show off
 
Aaah aah binamu usinfanyie hvyo , ngoja nikufuate makao makuu tumalizane

Kwa sababu za kiusalama ambazo ziko nje ya uwezo jina lake siwezi kulitaja hapa, lkn ni mtoto wa mama hana lolote anakula benefit (pesa ya watu wasiofanya kazi uk) na kuishi anakaa na dada yake, so ni kama mtoto wake anamlea labda akija wastara itabidi watafute nyumba yao wwnyewe....kama dada kafata pesa hapo kapotea njia ataishia kununuliwa vi jeans na vitop.
 
Back
Top Bottom