Hili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapew
Mtaji wanaweza kukopa kwenye bank zetu...Tatizo la nchi yetu ni usimamizi wa mradi. Wakipewa tu wanafanya kama Yale tuyaonayo kwenye daladala za kawaidaHili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
I secondPesa wanayo ndio maana wamekwenda PPPC ngoja tuwape muda
Mtaji upo ndio maana wakaenda kwa KafulilaHili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
Bora ya huyu muha kupambana na umasikini tu hana baya kabisa jamaaView attachment 3159803
===
CHAMA Cha Wamiliki wa Malori wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala ya michakato katika kuingia ubia huo.
Tamstoa imeonyesha nia hiyo leo Ijumaa Novemba 22,2024 walipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania, David Kafulila, ambapo pamoja na mambo mengine walitaka kujua taratibu gani za kufuata ili kufanikisha hilo.
Wafanyabishara hao wanakuja na ombi hilo, wakati kukiwa na malalamiko ya uchache wa mabasi hayo jambo linalowafanya abiria kusubiri kwa muda mrefu vituoni.
Kwa upande wake Kafulila, amewaondoa hofu wafanyabiashara hao kuhusu michakato katika kuwekeza katika mradi huo kwa kile alichoeleza kumefanywa marekebisho ya sheria katika masuala ya ubia.
Kafulila has a bright futureView attachment 3159803

Ni sawaPesa wanayo ndio maana wamekwenda PPPC ngoja tuwape muda
But sijui kama kweli Wana mtaji sahihiHili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
Sijakuelewa kabisa hapoHili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe