FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Akipewa awekeze fedha zake, asipewe mali ya umma.Wapewe benefit of doubt, tuache kujidharau sana
Wafukuwe pesa walizoiba kwa miaka mingi wazirudishe ziwekeze hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipewa awekeze fedha zake, asipewe mali ya umma.Wapewe benefit of doubt, tuache kujidharau sana
Huu mradi ni lazima UFEView attachment 3159803
===
CHAMA Cha Wamiliki wa Malori wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala ya michakato katika kuingia ubia huo.
Tamstoa imeonyesha nia hiyo leo Ijumaa Novemba 22,2024 walipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania, David Kafulila, ambapo pamoja na mambo mengine walitaka kujua taratibu gani za kufuata ili kufanikisha hilo.
Wafanyabishara hao wanakuja na ombi hilo, wakati kukiwa na malalamiko ya uchache wa mabasi hayo jambo linalowafanya abiria kusubiri kwa muda mrefu vituoni.
Kwa upande wake Kafulila, amewaondoa hofu wafanyabiashara hao kuhusu michakato katika kuwekeza katika mradi huo kwa kile alichoeleza kumefanywa marekebisho ya sheria katika masuala ya ubia.
Ila Wabongo kwanini hatuaminiani kiasi hiki?Huu mradi ni lazima UFE
Regardless anaendesha nani,Serikali au hao matacor wanaijitia kwenda kuisaidia serikali eti kuendesha UDART
Stinky doodooo!
Yule Muhindi DalaliSubiri tuone bora lile lihindi lenye pesa mpaka za kuhonga
Yule sio dallali anazoYule Muhindi Dalali
Siamini chochote anachoanzisha SERIKALIIla Wabongo kwanini hatuaminiani kiasi hiki?
Unabisha nini Mkuu unafikiri udalali maana yake ni nini?Unafikiri ni kwa nini wamarekani wanamshtaki?Yule sio dallali anazo
Nimeshachangia kachukue malipo yako .Changia mada achana na hoja za ID humu hazina tija
Wanakosaje mtaji?Hili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
Kashatoka ndani?Kisena anatosha kuendesha huu mradi, shida, wanasiasa wana njaa sana, kila kukicha wanaomba hela, na wanaomba kuanzia million 10 kwenda mbele, usipowapa vitisho vingi sana, we fuatilia kamati za Bunge posho wanazo pewa wakienda kukagua mashirika na taasisi za umma, sio chini ya 1.5m kwa siku, kwa mjumbe mmoja, usipotoa posho, lazima wakuandalia zengwe la maana
Itakuwa Jambo jema wakiruhusu mabasi ya watu binafsi kwenye mwendokasi.View attachment 3159803
===
CHAMA Cha Wamiliki wa Malori wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala ya michakato katika kuingia ubia huo.
Tamstoa imeonyesha nia hiyo leo Ijumaa Novemba 22,2024 walipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania, David Kafulila, ambapo pamoja na mambo mengine walitaka kujua taratibu gani za kufuata ili kufanikisha hilo.
Wafanyabishara hao wanakuja na ombi hilo, wakati kukiwa na malalamiko ya uchache wa mabasi hayo jambo linalowafanya abiria kusubiri kwa muda mrefu vituoni.
Kwa upande wake Kafulila, amewaondoa hofu wafanyabiashara hao kuhusu michakato katika kuwekeza katika mradi huo kwa kile alichoeleza kumefanywa marekebisho ya sheria katika masuala ya ubia.
View attachment 3159803

Dp sio mfano mzuri, Kwa sababu wa bongo tunaweza kuweka magement ya nje ikibidi na kununua vifaa hitajika, KPMG wangeweza Ku tutafutia watu wenye uwezo na wana siasa wasiingilie uendeshaji wake , hapo ndio tatizo lilipoWapewe wanaoweza.
Dpw ni nfano mzuri sana, chini ya mwaka bandarini tunaona mabadiliko makubwa ya ufanisi.
Bado hajatokaKashatoka ndani?
Usiweke tumaini kwa mtu, tengeneza mfumo imara,, ili ikitokea huyo kijana wako Kafulila hayupo.,watu wasiumieNadhani wamegundua Kafulila ni kijana mzalendo ndio maana wameanza kuamini Serikali
Hovyo kabisa jamaa amegoma kuachia mali zakeBado hajatoka
Tatizo la Kisena ni UfisadiHovyo kabisa jamaa amegoma kuachia mali zake
Ufisadi ni nini?Nafikiri ifike wakati tujifunze kuhusu Biashara na tuelewe biashara ili hizi kauli za kufikiri kwamba Umaskini na Uzalendo na Utajiri ni Ufisadi tuachane nazo.Tatizo la Kisena ni Ufisadi