Umeona mkuu yaan manfongo jana niliangalia kipindi wakat anaelezea mwanaume hutakiwi kuwa vile na tabia za kike ndo mana kila siku kuitwa wanaume wa dar janaume mbea mbeaHUYO SHORWE MWAMBA MBONA ANA TABIA ZA KIKAMERUNI? MAONGEZI KWENYE BASI NI KUPUNGUZA SAFARI ISIWE NDEFU MAONGEZI NI KUCHANGAMSHA BALAZA ILA YEYE ANAPELEKA STORY KOTE,SHORWE MWAMBA NI NGAPULILA ANA HATARI.
Yule Mzee aliamuacha huyu Mama? Kwasababu nilikuwa najiuliza Mzee Sepetu (RIP) aliishi vipi na hawa vichwa maji wawili.ww unaona alichokifanya Mama yake Wema kina maadili?
huyo Dogo manfongo ni Mjukuu kwa Mama Wema hatakiwi kujibizana naye km boyfriend
inajua kwanini Balozi Sepetu alimuacha huyu Mama miaka kadhaa
tafuta kisa kwanza maana utawashobokea na kuwatusi Member humu wenye ukweli
Wewe mbona umejibu kwa mahaba mazito kiasi hichi?Mbona kama sielewi hii ishu, hivi seriously eti man fongo na mama sepetu, walitokana wap hadi beef linaanza, mimi nafikir wema sepetu amzuie mama yake tu asijibizane kwenye mitandao yeye ni mtu mzima, mama wa supastaa unabishana na man fongo??? Wanampa kiki tu huyo singeli guy hana umaarufu wa kuanzaa kubishana na sepetu's family....
Hatari.......[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kititimo, kindai , singidani, mwenge , minga, kibaoni, kinyeto, mwankoko, mtamaa, nkoiree, ntinko. puma, makiungu mungaa.
Balozi alijitia aibu mwenyewe kwakuokota hovyo wanawake huko mtaani. Angalau, hili ni somo, wanaume muanze kuchagua wanawake wa kuoa, kuzaa nao, na kutoka nao huko mitaani bala hata kutumia kinga (CDs)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mama sio wa mchezo mchezoMama Wema nae hatari unakuaje na beef na manfongo