Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

Mama na Binti wote ni wa " hovyo hovyo ".
Huyo mama alishawahi kuwa family friend namjua vizuri sana ata sishangai,enzi zile marehemu mzee alikua barozi wa nchi flani hapa hapa africa huyo mama alikua anashida yani she can bully over petty staff afu alikua anazile mambo za kiswahili kupitiliza. nakumbuka kunasiku alinikanyagia kuna skendo flani hivi kuhusu huyo mwanae wema ndio ulikua mwisho wa family yetu kujihusisha na wao.. Mzee alitupiga BT kujihusisha nao kabisa
 
Hiyo ni lesson kuna wamawake Wa kuoa na wanawake Wa kukusindikiza kwenye safari ya kuoa.... Funzo ni kwamba tuwe filter ya kiwango cha lami katika kuchagua mwanamke Wa kuoa.....
 
ww ndio mpuuzi
unaona alichokifanya Mama yake Wema kina maadili?
huyo Dogo manfongo ni Mjukuu kwa Mama Wema hatakiwi kujibizana naye km boyfriend
inajua kwanini Balozi Sepetu alimuacha huyu Mama miaka kadhaa
tafuta kisa kwanza maana utawashobokea na kuwatusi Member humu wenye ukweli
Lakini wakati wa Ugonjwa mama Wema ndo alimuuguza mpaka akamfia mkononi hao wanawake wengine walimkimbia.
 
Punguza hasira mkuu

Nikianzwa huwa namaliza na ukija kwangu kistaarabu nami nitakupa ustaarabu wangu uliotukuka na ukija Kihuni nami sitosita kukuonyesha Usela wangu vile vile. Sera yangu itabaki kuwa ile ile ya " ukijamba Mimi nakunya ". Nimemaliza.
 
Lakini wakati wa Ugonjwa mama Wema ndo alimuuguza mpaka akamfia mkononi hao wanawake wengine walimkimbia.
Labda walimkimbia kwa kuona kaopoa garasa, wakaona acha ajifunze kumbe akafa!
 
Huyo mama alishawahi kuwa family friend namjua vizuri sana ata sishangai,enzi zile marehemu mzee alikua barozi wa nchi flani hapa hapa africa huyo mama alikua anashida yani she can bully over petty staff afu alikua anazile mambo za kiswahili kupitiliza. nakumbuka kunasiku alinikanyagia kuna skendo flani hivi kuhusu huyo mwanae wema ndio ulikua mwisho wa family yetu kujihusisha na wao.. Mzee alitupiga BT kujihusisha nao kabisa

Psychologically tu Sura na Body language yake vinaelezea mengi sana ambayo ni ya kutia aibu familia nzima ya Mheshimiwa Marehemu Balozi. Wa Mama wa umri wake sasa wanatunza " Wajukuu " huku wakitoa ushauri kwa Watoto wao na Wanajamii wanaowazunguka ila kwa huyu yeye kutwa ni kugombana gombana tu na Watu ambao wanaweza hata kumuita Bibi na kujihusisha na harakati ambazo kimsingi angezifanya Binti yake na si yeye. Huyu Mama amewaaibisha sana Mama zetu.
 
Mama asicheze na vjana watakata Afu wafunue...
Mama mtu mzima kweny social media na akina Man Fongo unataka nn..

Vijana wa cku iz hawaangalii umri Wanajisahaulisha tuu.. Ooooh!!!
 
Ndio naomba mnieleweshe niko gizanj, yaani wanagombea nini hasa???? Mbona hawalingani? Au source ni nini?
Kuna mwanamuzik wa kisingeli anaitwa sholo mwamba walikua kwenye bus wanaelekea fiesta wanamuzik walikua wengi christian bella alikua analalamika kuwa wema na munna wanamtukana kuwa wameiba idia yao ya vigoma alifanya dar live man fongo akamwambia kila mtu na ridhiki yake lkn ndo uyo sholo mwamba kumtumia mama wema msg sijui wema kua man fongo uku amewatukana sana kamtukana mpk marehem mumeo kua kafa kwa... kitu ambacho si kweli mgombanishi n uyo sholomwamba sbbu haelewan flan na manfongo toka walivyokua management moja yy akajitoa
 
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo.....Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa hata huyo man fongo hamjui na hajawai kumsikia

Hata hivyo kauli hii ya Wema kidogo inaleta ukakasi kwa kuwa siku chache zilizopita alipost katika account yake ya snapchart akiserebuka nyimbo ya hainaga ushemeji
View attachment 397104
 
Mbona kama sielewi hii ishu, hivi seriously eti man fongo na mama sepetu, walitokana wap hadi beef linaanza, mimi nafikir wema sepetu amzuie mama yake tu asijibizane kwenye mitandao yeye ni mtu mzima, mama wa supastaa unabishana na man fongo??? Wanampa kiki tu huyo singeli guy hana umaarufu wa kuanzaa kubishana na sepetu's family....
 
Jamani hv huyu wema naye vi2ko vyake vitaisha lini?? Keshakuwa bibi atulie sasa.
Ikiwa mama yake wema ndio bado anajiona binti, huyo wema anaanzaje kutulia kwamfano[emoji15]
 
Nawaza tuuuu, ngoma ijayo ya man fongo itaitwa "hainaga utu uzima tunakulaga"
 
Kuna mwanamuzik wa kisingeli anaitwa sholo mwamba walikua kwenye bus wanaelekea fiesta wanamuzik walikua wengi christian bella alikua analalamika kuwa wema na munna wanamtukana kuwa wameiba idia yao ya vigoma alifanya dar live man fongo akamwambia kila mtu na ridhiki yake lkn ndo uyo sholo mwamba kumtumia mama wema msg sijui wema kua man fongo uku amewatukana sana kamtukana mpk marehem mumeo kua kafa kwa... kitu ambacho si kweli mgombanishi n uyo sholomwamba sbbu haelewan flan na manfongo toka walivyokua management moja yy akajitoa
HUYO SHORWE MWAMBA MBONA ANA TABIA ZA KIKAMERUNI? MAONGEZI KWENYE BASI NI KUPUNGUZA SAFARI ISIWE NDEFU MAONGEZI NI KUCHANGAMSHA BALAZA ILA YEYE ANAPELEKA STORY KOTE,SHORWE MWAMBA NI NGAPULILA ANA HATARI.
 
Back
Top Bottom