UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Huyo mama alishawahi kuwa family friend namjua vizuri sana ata sishangai,enzi zile marehemu mzee alikua barozi wa nchi flani hapa hapa africa huyo mama alikua anashida yani she can bully over petty staff afu alikua anazile mambo za kiswahili kupitiliza. nakumbuka kunasiku alinikanyagia kuna skendo flani hivi kuhusu huyo mwanae wema ndio ulikua mwisho wa family yetu kujihusisha na wao.. Mzee alitupiga BT kujihusisha nao kabisaMama na Binti wote ni wa " hovyo hovyo ".