venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
Balozi alijitia aibu mwenyewe kwakuokota hovyo wanawake huko mtaani. Angalau, hili ni somo, wanaume muanze kuchagua wanawake wa kuoa, kuzaa nao, na kutoka nao huko mitaani bala hata kutumia kinga (CDs)Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi " upuuzi " wake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.