Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

Hatimaye Wema aingilia bifu la mama yake na man fongo

Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi " upuuzi " wake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.
Balozi alijitia aibu mwenyewe kwakuokota hovyo wanawake huko mtaani. Angalau, hili ni somo, wanaume muanze kuchagua wanawake wa kuoa, kuzaa nao, na kutoka nao huko mitaani bala hata kutumia kinga (CDs)
 
Nakubaliana na Wewe 100%.
 
Uyu mama nae hajui mwanae kumnyima mtu zambi siku man fongo atakapokuja na kigodoro apo kwake na nyimbo yake hainaga ushemeji na mshenga juu ndo ataelewa watoto wa uswazi
 
Hawa wazazi wa Mastaa wetu asimilia 99% hawajielewii!!!! Bado wapo gizani hawajui Effect yao ya kupenda ugomvi kwa watoto wao!!!!

Mama wema ni mshari sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata wema analijua kuwa mama ake ni pasua kichwa!!!

Ukiona mama mtu mzima anagombana na ManFongo ambaye ametafuta suluhuu kupitia ufamily friend na Bado mama Mtu anaendeleza Matusi basi huyo mama mmmmmmmmmhhh

Japo ni mama Ake wema ila mm nimemshusha thamani sanaaaaaaaaa.....hope wema ataendelea kumuheshimu ila mm Mtu mzima akigombana na mtoto wake hapanaa
 
Angalau sasa Watanzania tumeshajua ni wapi Wema Sepetu amerithi " upuuzi " wake tunaomuona nao kila kukicha. Mama na Binti kwakweli wanamtia mno aibu Mheshimiwa Marehemu Balozi Mzee Sepetu. Na sasa naanza kuamini pia kuwa kumbe ni kweli 90% ya characters za Mtoto wa Kike huchukua kutoka kwa Mama yake Mzazi.
Umenene vyema mkuu..nakusapot 1000000%..
Mama wema na man fongo,then bint unampgia sim soudy aseee...
Hopeless....
 
Ni kwamba wema tayar ameshakolea kwa man fongo kwaio anatafuta namna gani ampate
 
Back
Top Bottom