GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania ( Bongo )
Labda nikusaidie tu CEO Barbara Gonzalez kuwa hata hii ( hawa ) Yanga SC ambao leo hii unawaona wamepata haya Mafanikio Makubwa ni kutokana na Kitendo cha Mwenyekiti Wao Dk. Mshindo Msolla kukubali kuwarudisha na kuwa karibu na Wazee wa Fitna na Umafia wa Yanga SC wakiongozwa na akina Binda.
Nakumbuka CEO Barbara Gonzalez zaidi ya mara Nne Mzee Dalali, Kaduguda hadi Magori walikuwa wakikushauri kuwa kuwa karibu na Wazee wa Kazi Chafu akina Kassim Dewji, Musleh Rwey na Kamanda Ndanje ili waipambanie Klabu ndani na nje ya Uwanja ukawapuuza na Kutukuta hadi kuwa na Msimu huu mbaya.
Leo GENTAMYCINE nina furaha Kubwa sana baada ya Kuwaona Mafia Wenzangu akina Kassim Dewji, Crescetius Magori (Poti wangu kutoka Mkoani Mara) akina Musley na wengineo wakiwa wamerejea rasmi Kundini Kuipambania Simba SC. Sasa nami rasmi naondoka Chuki yangu Kwako na kwa Timu narudi Kundini 100%.
Na najua (nina uhakika) kuwa hata Watu wa Yanga SC sasa kwa Kikosi hiki Vitu Vinagonga na Kurudi kwani wanakijua vyema. Na uzuri wa hiki Kikosi hakiishii tu kujue Kucheza Mechi za Simba SC ndani na nje lakini pia kina Mafundi watupu wa Jicho la Usajili hivyo naamini sasa Majembe mapya yanakuja na Ushindi nao utakuja.
Simba SC Nguvu Moja.
,