Hatimaye wenye Simba SC yao ( Wazee wa Fitna na Umafia ) wamerejea rasmi Kuirudisha Simba SC tuliyoizoea

hao wakina dewji watatulia tuuu!!YANGA tuliwarudisha wazee wa kazi chafu kina binkleb,magari,pinda, davis mosha etc!na bado wapo!so next season utakuwa wamoto sanaa!!
 
Mentality za kipuuzi kabisa,hatuwezi piga hatua kwa akili za kishenzi na za kiswahili kama hizi.Rubbish
 
Vilabu vya kuanzia preliminary vishawekwa wazi Simba hayumo.
Sasa unakataa nn? Au wee mwenzetu una list yako ambayo simba ipo? Tuambie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka hapo vilabu vinavyoanzia Preliminary mkuu, nachojua ni kwamba inatokana na mwaka husika ni timu ngapi zitashiriki ndio huweza kudetermine timu ngapi zitaanzia hatua ya kwanza. Haiko kama unavyofikiria wewe.

Mwaka jana TFF walitoa na barua kabisa ambayo iliithibitisha Simba kuanzia hatua ya kwanza badala ya Awali. Vp mwaka huu TFF wameshatoa taarifa??
 
Sasa ukae usubiri soon utaona kutoka CAF, maana unaanza leta ubishi wako. Khaaaaah
 
Mimi sio mshabiki wa Simba ila nikiacha utani wa kishabiki na kuwa mkweli huyu Dada amechangia kwa kiasi kikubwa kulifanya jina la simba lifahamike duniani na hata soka la Tanzania limepasua mawimbi kupitia huyu mrembo

Kilichosababisha kwanza ni kwa kuwa ni mwanamke hiyo jamii ya kimataifa ilikuwa inafuatilia sana mafanikio yake

Dada huyu anafahamu protocal za mahusiano ya kimataifa na amekuwa akislikwa kwenye forum mbalimbali za soka duniani

Kwa mtu akiwa mkweli Simba chini ya uongozi wake katika miaka ya karibuni ndio imefanya vyema zaidi kimataifa kuliko hao walaji wanaojiita wana simba yao

Huyu dada ana msimamo, na ni mkali kwa watu wajanjawajanja wanaotaka kuitumia simba kama sehemu yao ya kula , na hataki konakona na tabia mbovu za kubebana. Mtanzania hata kwenye ajira za kawaida akatokea mtu mwenye misimamo ya kazi na kuziba mianya ya wizi na dili lazima atengenezewe zengwe aondolewe ila nawahakikishia kabisa ninyi mkia mkimtoa barbara mtaporomoka kiwango ambacho hakijapata kutokea. Yeye ni tunu ya mpira wa Tanzania.Najua ana vihasira kidogo na vidharau kwa wanaomletea swaga za kijinga
 
Katika watu wa ovyo kabisa Simba ni huyo Kasim Dewji.
 
Acha utoto wewe hao wazee wa fitna walete champions league hapo Yanga, mpira wa majungu hauna faida siku zote, mtaishia hivyo mlivyo kusifiana ujinga na kikombe chenu cha NBC
 
Huu ni ukweli wa upande mmoja, angetumia ukweli huo unaousema kumwambia Mwamed aseme alikoweka zile bil 20.
 



kwa mtazamo wangu hakukuwa na utofauti ila kulikuwa na upande wenye kuleta uswahili na kutaka kuendelea kujifaidisha kwa mgongo wa club na kuna upande uliokuwa unasimamia maslah ya club

mtu pekee aliekuwa na nia ya kujito kwa ajili ya club ni wazee wetu marehemu hans pope na mr magori walikubaki mageuzi wakaiachia simba kwa mo ila walikuwa wanauwezo wa kumuwekea ngumu maana kundi lao la frinds of simba ndo lilikuwa limeshika team.

wao pamoja. kina aveva na mwenzie yule white

ila kassim roho ya kuw agreedy kaona maslah yake yanabinywa analeta majungu na alinito nje ya team kabisa..

sasa hapo hakuna kupatana kupata a ni maana yake wakubali kuacha simba iendeshwe kisasa sababu wao miaka yote kwa makusud hawakuwa na plan ya kuipeleke popote zaidi ya kuinyonya club..

wenzo kina hans pope na aveva waliamu kukubali kuwa zama zinepita waache ukurasa mpya ufunguliwe .. maana wanaipenda kwa dhat simba.. huyo kassim .

so hapo ni mmoja akubali kumpisha mwenzie.. na nina uhakika kassim kama ataleta unafiki simba ikarud mikonon mwao wakaleta uswahili jela
inamwita maana muamko wa watu sasa hv ni mkubwa atafukuliw makaburi yake yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…