Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca
Huyu jamaa kwa macho yangu namuona kama muhindi vile, hili jina la Lucas tena vipi!? Sio wa mila zile na majamatini yao!!? Ni ndoa ya bomani!?
 
Ni mwimbo gani huo?
ina maana ujui kaaamaa...
Screenshot_2016-06-13-08-51-06-1.png

Bridal Shower

Screenshot_2016-06-13-08-40-40-1.png

 
Back
Top Bottom