Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Hivi bifu la miss world na dada yake halikusababishwa na miss world afrika kumpora huyu bwana?????
Hapana lile lilikuwa miss world kujiona zaidi ya dada na kuleta dharau kwa kuwa amekuwa star kuliko dada, akasahau dada ndie alie mleta Town.
 
Haaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholder

Hilo la kuwaacha watoto kina Isabel hapo sawa..... nadhani ameumia sana Yule dada
Lakini hata kama Nancy kamzidi uzuri, si vyema mke kutelekezwa kwa sababu ya kuwa hana uzuri machoni pa watu. I
 
Screenshot_2016-06-13-08-51-06-1.png

Bridal Shower

Screenshot_2016-06-13-08-40-40-1.png
Tushukuru kwa kila jambo
 
Aiseeeh si shabiki sana wa mambo ya celebrities ila kuna kitu nimeona kwenye hizi picha...........

Bridal Shower participants wamechaguana woote wazuri aka wana mvuto

Wote vi modo.....

Wote wanasura na shape kama za kinyarwanda...........

Kuvaa mavazi meupe kumewafanya wang'are na kuonekana wasafi a smart zaidi.....

Walivyovaa sunglasses imewafanya waonekane wako vizurii..............

Wanaonekana ni wake au wapenzi wa watu weny pesaa......

Kwa wenye wallet zao changamkieni totoz hao kila mtu ajuvutie wake........

Hongera zake Nancy........
Mrs Machache yupo hapo mkuu
 
Huyo aliyepiga magoti upande wa kushoto wa picha ni mke wa bwana machache(IPP) au macho yangu yamekuwa ya mwendokasi!!
 
Back
Top Bottom