Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Kaka mkubwa lishasema kila kitu tudai risiti!Hizi ndoa bana, kwa hio huyo Lucas anamuoa mke wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mkubwa lishasema kila kitu tudai risiti!Hizi ndoa bana, kwa hio huyo Lucas anamuoa mke wake?
mie LULU ELIZABETH MICHAEL toka awe maarufu kwenye bongo movie ndo kanitema mazima halafu hajaolewa hadi leosmh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
AISEE wanasumbua sana hawa watu,lkn mkuu huko tayari kufa akikubali?mie LULU ELIZABETH MICHAEL toka awe maarufu kwenye bongo movie ndo kanitema mazima halafu hajaolewa hadi leo
Hapana lile lilikuwa miss world kujiona zaidi ya dada na kuleta dharau kwa kuwa amekuwa star kuliko dada, akasahau dada ndie alie mleta Town.Hivi bifu la miss world na dada yake halikusababishwa na miss world afrika kumpora huyu bwana?????
Lakini hata kama Nancy kamzidi uzuri, si vyema mke kutelekezwa kwa sababu ya kuwa hana uzuri machoni pa watu. IHaaaa we mwasu usinichekeshe hivi Yule mke wa Luca ana uzuri gani jamani.... Nancy kamuacha mbali kwakweli kwenye uzuri... sema ndo hivyo beauty is in the eye of the beholder
Hilo la kuwaacha watoto kina Isabel hapo sawa..... nadhani ameumia sana Yule dada
Tushukuru kwa kila jambo![]()
Bridal Shower
![]()
Kwa hiyo miss worl ni Nyakua nyakua.....Lakini hata kama Nancy kamzidi uzuri, si vyema mke kutelekezwa kwa sababu ya kuwa hana uzuri machoni pa watu. I
Hajatelekezwa.... point of correction dearLakini hata kama Nancy kamzidi uzuri, si vyema mke kutelekezwa kwa sababu ya kuwa hana uzuri machoni pa watu. I
Na ndiye baba wa mtoto wake sio?![]()
Huyo ndio Lucas.
Hahahaah pole sanasmh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
Hahahaah pole sana
Mrs Machache yupo hapo mkuuAiseeeh si shabiki sana wa mambo ya celebrities ila kuna kitu nimeona kwenye hizi picha...........
Bridal Shower participants wamechaguana woote wazuri aka wana mvuto
Wote vi modo.....
Wote wanasura na shape kama za kinyarwanda...........
Kuvaa mavazi meupe kumewafanya wang'are na kuonekana wasafi a smart zaidi.....
Walivyovaa sunglasses imewafanya waonekane wako vizurii..............
Wanaonekana ni wake au wapenzi wa watu weny pesaa......
Kwa wenye wallet zao changamkieni totoz hao kila mtu ajuvutie wake........
Hongera zake Nancy........
labda alikuwa anasomea ualimuHuyu c alikuwa na mchumba anasoma mzumbe kipindi flani, kama sijakosea