sawa, kila la kheri kwao
sass huyo Lucas ndio yupi hapo kushoto au kulia!!!?Kumbe Golo!
Huyu jamaa kwa macho yangu namuona kama muhindi vile, hili jina la Lucas tena vipi!? Sio wa mila zile na majamatini yao!!? Ni ndoa ya bomani!?Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca
Mb Dogy Na Nancy Sumari wapi Na wapi acheni kututia vichefuchefu
ina maana ujui kaaamaa...Ni mwimbo gani huo?
Bridal Shower
Huyo jamaa atakua Mgoa , muhindi wa kikristu kama sijakoseaHuyu jamaa kwa macho yangu namuona kama muhindi vile, hili jina la Lucas tena vipi!? Sio wa mila zile na majamatini yao!!? Ni ndoa ya bomani!?
chotara kivipi mkuu? Maana siku hizi hata kuku wapo chotara!!!!!Ni Chotara, safi tu.
umenenaUkiwa na pesa nyingi utang'oa dem mkali zaidi.
The more the money the beuty the bride.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Nilitaka nishangae demu kama huyu mwenye uzungu mwingi aolewe na mjaruo.
Mkuu angalia na status ya mtu hata kama ni wa kawaida ukiwa kapuku labda uende kwa mganga wa dunia.Huyo Nancy mbona wa kawaida tu
Duh nilijuaga Nancy anatoka na kale kahindi ka bunifu ka mavazi
MMHM KUMBE NAWE HUMO hahahahaaaaaaa (jokes)Mzuri kwa sura tu bana...hana yale mambo yetu ya shehe kipooozeo a,k,a chura
shosti nawe pia wataka uchumba sugu hahahahahaaaaaa (jokes)Baby ndio tufanye kuoana. Akitokea kama Lucas shauri yako
kumbe unamfahamu kuwa huyo naye ni globalpublisher wa kila kona ya jukwaa analeta habri mupyaaMweee ..wewe ni globalpublishers wa JF si bure
Shoga angu tukiweka picha yake bila ruhusaTupieni na picha basi tuone wengine tupo Kalenga huku hatuyajui hayo wakuu