Huyu lucas si alikuwa anatoka na Nakaaya mdogo wake Nancy?sawa, kila la kheri kwao
ni mdogo wake....... sasa unampongezaje kwa kumzaa???Huyu lucus si ndo yule jamaa muitaliano!!Siku moja Niko maeneo ya upanga tunapiga story kikaja kitoto kimoja cha kike chotara ni kikali balaa nikaanza kukisifia kwa a had za kukitongoza kumbe ni kidogo cha Lucas mpka jamaa nlikua nae unakuja kunikonyeza nshaongea mengi...bro hongera kwa kuzaa binti mkali kama yule.
lucas mkenda mkuulucas yupi huyo anayeoa mtoto mzuri hivyo!!!????
Hahahaaaa umemaliza yotelucas mkenda mkuu
Huyo si celebrity au sio??Shoga angu tukiweka picha yake bila ruhusa
kosa la mtandaoi litanihusuje sasa
Yule sio......... she has been keeping a low profileHuyo si celebrity au sio??
Ndo usage sumu unywe sasa..!!smh ,kwa hiyo muda wote huu huyu Nancy alikuwa ananidanganya, damn these girls they re not loyal
Halafu wewe...!!Yule sio......... she has been keeping a low profile
Halafu wewe...!!
Khee....Heaven on Earth haya ni ya kweli..??mkuu hiyo shangaa mbona kama ya kunhusudu baby wangu!!?
Huyo ndio Lucas.
Chotara huyu
Huyo ndio Lucas.
Faranga MzeeKumbe ni mume wa mtu? ma star wetu hawa bwana hawawezi kuishi bila mume wa mtu wakati vijana mjini tupo kibao tu