Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Huyu lucus si ndo yule jamaa muitaliano!!Siku moja Niko maeneo ya upanga tunapiga story kikaja kitoto kimoja cha kike chotara ni kikali balaa nikaanza kukisifia kwa a had za kukitongoza kumbe ni kidogo cha Lucas mpka jamaa nlikua nae unakuja kunikonyeza nshaongea mengi...bro hongera kwa kuzaa binti mkali kama yule.