Hatimaye Yanga imempata Professional anayecheza National Team - Ntibazonkiza

Hatimaye Yanga imempata Professional anayecheza National Team - Ntibazonkiza

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Wote waliopo 'pale' hakuna aliyeitwa National Team hata kwa kutajwa tu...Hata hivyo Yanga imemnasa Kitasa Saidi Ntibazonkiza. Tunasema hivi Yanga ilipo tupo.. Bw Saidi akifika tunamsubiri kwa hamu tukamlaki Pale Airpprt
 
Hivi Taifa stars sio National team? Au kwakuwa ni umbumbumbu umeshindwa kutambua

Hivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?

Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wiki ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kocha taifa star - Burundi.

Sasa mchezaji huyu naye Burundi.

This affinity is wanting.
 
Hivi Taifa stars sio National team? Au kwakuwa ni umbumbumbu umeshindwa kutambua
Ndiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.
 
Hivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?

Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wingi ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kichaa taifa star - Burundi.

Sasa mchezaji huyu naye Burundi.

This affinity is wanting.
Hujui kuna corona, hukuona no Burundi tu ndo ilileta mwakilishi siku ya kumuaga BWM
 
Hivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?

Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wingi ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kichaa taifa star - Burundi.

Sasa mchezaji huyu naye Burundi.

This affinity is wanting.
Kocha taifa stars burundi,kocha wa yanga burundi,kocha wa makipa yanga burundi,kocha wa namungo burundi
 
Soma vizuri kichwa cha habari, Nawazungumzia professional player ...achana na Taifa stars hao mzee Mwinyi aliwaita kichwa cha mwendawazimu kwani washapona?
FIFA ranking...watu wana wachezaji 300 Ulaya...
 
Kocha taifa stars burundi,kocha wa yanga burundi,kocha wa makipa yanga burundi,kocha wa namungo burundi
No wonder jiwe na hata bashiri wanasemekana nao Burundi.

Tangu lini vinasaba vikadanganya?
 
Taifa stars ina laana ya Mzee Mwinyi, mpaka siku mzee Mwinyi akijitokeza hadharani na kusema SIO KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.
 
Safari hii akitua airport tutahakikisha tunaziba barabara zote kwa maandamano kuanzia Nyerere Road,Mandela Road eneo la Buguruni,Barabara ya Uhuru,Msimbazi Road mpaka mitaa ya Twiga na Jangwani...!Daslam Itasimama siku iyo.
 
Mapokezi ya huyu lazima yawe ya kipekee.....One and Only professional mpaka sasa tuliyemsaini mwenye hii hadhi ya National team..mapokezi ya 'Karinyo, TK na Mukoko" yanasubiri...Karibu sana Ntibazonkiza...Furaha yetu sisi Yanga ii wapi? Hatujielewi cha kushangilia.
 
Ndiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.
Luc hakukosea kuwaita kima
JamiiForums96250607.jpg
 
Hivi hao Zambia toka wachukue AFCON ya kichawi wameenda tena..Msumbiji je..
 
Back
Top Bottom