kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
- Thread starter
- #21
Timu za Taifa za mataifa mengine zikiita wachezaji wake naye Ntibazonkiza atakuwa anawaaga Yanga kama wafanyavyo kina Chirwa wa Azam,Kagere,Kahata Simba etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuitwa Nyani na mbwa imepitiliza aiseeNdiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.
Imekuuma eenh. Safi sn. Ma Mbwa, ma Nyani wakubwa nyieHivi hawa mbumbumbu wana matatizo gani mwafrika mwenzio akiitwa Nyani kwa kuwa ni mweusi basi ujue na wewe ni nyani ti
Huko nako hakuna corona kama sie!Hivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?
Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wiki ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kocha taifa star - Burundi.
Sasa mchezaji huyu naye Burundi.
This affinity is wanting.
Huko nako hakuna corona kama sie!