kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wote waliopo 'pale' hakuna aliyeitwa National Team hata kwa kutajwa tu...Hata hivyo Yanga imemnasa Kitasa Saidi Ntibazonkiza. Tunasema hivi Yanga ilipo tupo.. Bw Saidi akifika tunamsubiri kwa hamu tukamlaki Pale Airpprt
Ndiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.Hivi Taifa stars sio National team? Au kwakuwa ni umbumbumbu umeshindwa kutambua
Hujui kuna corona, hukuona no Burundi tu ndo ilileta mwakilishi siku ya kumuaga BWMHivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?
Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wingi ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kichaa taifa star - Burundi.
Sasa mchezaji huyu naye Burundi.
This affinity is wanting.
Soma vizuri kichwa cha habari, Nawazungumzia professional player ...achana na Taifa stars hao mzee Mwinyi aliwaita kichwa cha mwendawazimu kwani washapona?Hivi Taifa stars sio National team? Au kwakuwa ni umbumbumbu umeshindwa kutambua
Kocha taifa stars burundi,kocha wa yanga burundi,kocha wa makipa yanga burundi,kocha wa namungo burundiHivi hii inclination ya Burundi Burundi ni coincidence?
Wiki ya simba timu ya kucheza nayo tokea Burundi. Wingi ya yanga nao - Burundi. Taifa star nayo kujipima ubavu - Burundi. Kichaa taifa star - Burundi.
Sasa mchezaji huyu naye Burundi.
This affinity is wanting.
FIFA ranking...watu wana wachezaji 300 Ulaya...Soma vizuri kichwa cha habari, Nawazungumzia professional player ...achana na Taifa stars hao mzee Mwinyi aliwaita kichwa cha mwendawazimu kwani washapona?
No wonder jiwe na hata bashiri wanasemekana nao Burundi.Kocha taifa stars burundi,kocha wa yanga burundi,kocha wa makipa yanga burundi,kocha wa namungo burundi
Uneducated hawawezi kuelewaSoma vizuri kichwa cha habari, Nawazungumzia professional player ...achana na Taifa stars hao mzee Mwinyi aliwaita kichwa cha mwendawazimu kwani washapona?
Luc hakukosea kuwaita kimaNdiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.
Mwingine amesema eti Kagame Cup ya 1976, vihiyo wengi sanaHivi Taifa stars sio National team? Au kwakuwa ni umbumbumbu umeshindwa kutambua