Hatimaye Yanga imempata Professional anayecheza National Team - Ntibazonkiza

Timu za Taifa za mataifa mengine zikiita wachezaji wake naye Ntibazonkiza atakuwa anawaaga Yanga kama wafanyavyo kina Chirwa wa Azam,Kagere,Kahata Simba etc.
 
Ndiyo maana hawa viumbe waliitwa mbumbumbu na yule mwenyekiti wao mstaafu. Na kwa kuugundua umbumbumbu wao, kwa sasa Mwamedi anawafanya tu vile apendavyo.
Ila kuitwa Nyani na mbwa imepitiliza aisee
 
Hivi hawa mbumbumbu wana matatizo gani mwafrika mwenzio akiitwa Nyani kwa kuwa ni mweusi basi ujue na wewe ni nyani ti
 
Walimwengu watu wabaya...! Yanga haina professional anayechezea National team...! Kama ndivyo basi endeleeni na mapokezi ya halaiki.
 
Huko nako hakuna corona kama sie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…