Hahaakamaaa mm kumbeevichefuuchefuuu wamatopenUlivyoandika kwa herufi kubwa mi nikajua nakutana na mkataba mubashara....... kumbeeee.......
Unaongea utadhani umeuona mkataba..haujajua mkataba utakua na mambo yapi. bodi ya udhamina ya yanga sio wajinga kiasi iko waruhusu mkataba ambao hautaipa yanga mafanikio..tokea yanga imezaliwa inaendeshwa kwa hasara leo anatokea mtu anakwambia atakua anaweka 25% na hakuna hasara..manake ikiwepo hasara inakula kwake sio klabu..jaribu kujiuliza leo hii manji akisema anaondoka kuna mtu anaweza kulipa mishahara mikubwa pale yanga kuna mtu angeweza kuwaleta kina ngoma na kina kamusoko..mpira wa sasa unahitaji pesa sio maongezi na ushabiki mandazi....Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Kabla ya Manji kuchukua team, miaka yote hiyo Yanga walipata faida gani? Mimi ni yanga 100%,ila kiukweli cc huwa tunachoangalia ni ushindi wa vikombe na mechi za watani... Laiti tungekuwa na faida inayopatikana, tungelishaujenga uwanja.... Acha aichukue tu... Ukodishaji ni lugha tu, lakini ni yale yale ya kampun kuingia ubia.
Wewe ndio hujamuelewa mkodishaji. Amekuambia atakuwa anawawekea tu 25%? Hiyo 25% ni nini? Hiyo ni faida kama itakuwepo, lakini kwa kuwa wahasibu na mameneja ni wa kwake na sio wa klabu (kwa mujibu wa mkataba anachukua management), anaweza akasema amepata hasara kwa miaka yote 10 aliyoikodi timu....tokea yanga imezaliwa inaendeshwa kwa hasara leo anatokea mtu anakwambia atakua anaweka 25% na hakuna hasara..manake ikiwepo hasara inakula kwake sio klabu.
Kumbuka kwamba ile ilikua ni proposal ya mkodiashaji na ile klabu ni ya wanachama na ndo mana bodi ya udhamini itaenda kukaa na kuangalia waweke terms za aina ganii na za kuinufaisha klabu...bado unaweza kusikia vitu tofauti ndo mana mpaka leo bado haujaskia chochote bdo ni ishu kubwa wala sio ishu ya kukurupuka...na mkodishaji alisema iviii atakua anaweka asilimia 25 hata kama kuna hasra yeye atalipa..kma ulimsikia manji akihojiwa kwenye kituo flan cha radio..mpira pesa..Wewe ndio hujamuelewa mkodishaji. Amekuambia atakuwa anawawekea tu 25%? Hiyo 25% ni nini? Hiyo ni faida kama itakuwepo, lakini kwa kuwa wahasibu na mameneja ni wa kwake na sio wa klabu (kwa mujibu wa mkataba anachukua management), anaweza akasema amepata hasara kwa miaka yote 10 aliyoikodi timu.
Simba&yanga kama manataka faida za klabu zenu badirisheni katiba klabu zijiendeshe kama kampuni na katika ununuzi wa hisa mwanachama au viongozi mwisha wa kumili hisa no 30% .
Hans Pope anajenga bonge la Hotel Iringa kwa pesa za Simba...Nyie mtabaki kuwa washangiliaji tuHao akina Pope ndio wanachama wenyewe, uwepo wao unahakikisha kinachovunwa na klabu kinabaki klabuni, tofauti na YM ambapo mkataba unasema atachukua management klabu ibaki na majengo na viwanja
Hans Pope ni mfanyabiashara mkubwa, hategemei kuiba ili ajenge hoteli. Kumbuka anamiliki malori ya kusafirisha mizigo Rwanda na BurundiHans Pope anajenga bonge la Hotel Iringa kwa pesa za Simba...Nyie mtabaki kuwa washangiliaji tu
Yanga wanahitaji milioni 500 za usajili nenda kawape sio unapiga kelele hapa wakati hujawahi kutoa hata miaMimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.
Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.
Asante MANJI.
Mimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.
Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.
Asante MANJI.
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa haya mambo hutokea Tanzania Pekee..Wana-YANGA ni watu wa ajabu kweli kweli yaani wameporwa klabu yao mchana kweupeeeeeee??!! Huwezi kuamini kilichotokea na kinachoendelea kutokea...Aibu si aibu, uchuro si uchuro, ajabu si ajabu yaani mtu huelewi....Yaani watu wazima na akili zao wanalipiwa mpaka ada ya mwaka ya uanachama...klabu inakodishwa kama baiskeli...duh, unbelievable!!!