Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Habari za mwanzo ni ilikua nae atoe bilioni 25 kisha achukue 50% lakini mpango huo ukavurugwa na kigogo mmoja alietaka kutoa bilioni 65 kwa asilimia hzo hzo ndo ili kumvua huyo mshindani akaamua kujikodisha, swali linakuja hivi ndani ya miaka kumi akiishusha daraja je, akiamua kuitumia yanga kukopea hela benki je, tujiulize maswali kabla ya kumkubalia

Hahahahha ndoto za alinacha hizi eti bilioni 65 hahhah yanga bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Povu hilo, Mama Chiku na Family Detergent.

Wachezaji wako walihongwa na Yanga, je Toto Africa nao waliwahonga ndio wakawapiga kidude? Hebu funguka mwagito
Mi sio wa ndiyo mzee yeyote atakaye tofautiana na wewe atakuwa Simba huo ushabiki wa kufuata upepo siku upepo usipovuma utaula wa chuya kwa sasa una bichwa gumu Ila badaye utakuja kujua undezi wako
 
Manji alishajimilikisha Yanga kitambo sana sema wanayanga walikuwa hawajui pia Manji ndo kila kitu pale Yanga ukisema ukweli unafukuzwa uanachama, Yanga mmepotea tena sana mliuza timu kitambo sana hongera Mkemi kwa kuwa mkweli na muwazi achana na mijitu yenye njaa inauza timu kwa muhindi
 
Ningemshauri manji asipoteze pesa zake kuwekeza pesa kwa yanga au Simba nikujitengezea matatizo baadae time zipo nyingi mm nilimuelewa sana bakhressa(azam) jifunzeni kwake
 
Nimefurahishwa na wanachama wa Yanga kumkubalia Manji kujikopesha Klabu ya Yanga kwa asilimia 75% huku wanachama wakibaki kuhudhuria mechi tu ambazo klabu yao itakuwa inacheza na kushangilia ikishinda au kuzomea ila hawatakuwa na sauti hata kidogo ya mwenendo wa klabu yao. Manji akiamua Yanga ipate matokeo mabaya hakuna wa kumpinga, kwani wanachama hawatakuwa na sauti.

Nilitegemea wanachama wa Yanga wangekubaliana kuwa Manji auziwe hisa tena asilimia 50% na zilizobaki ziwe za wanachama ili pande zote mbili zishiriki kwenye maamuzi ya Klabu, lakini kwa utaratibu wa kumkopesha Manji kwa asilimia 75% wanayanga make mkao wa kulia tu hamtakuwa na maamuzi kwa miaka 10 bora mngempa hata miaka 5 kwanza ya majaribio.
Mpeni ninyi mo sisi tumeshaamua haturudi nyuma
 
Habari za mwanzo ni ilikua nae atoe bilioni 25 kisha achukue 50% lakini mpango huo ukavurugwa na kigogo mmoja alietaka kutoa bilioni 65 kwa asilimia hzo hzo ndo ili kumvua huyo mshindani akaamua kujikodisha, swali linakuja hivi ndani ya miaka kumi akiishusha daraja je, akiamua kuitumia yanga kukopea hela benki je, tujiulize maswali kabla ya kumkubalia
Muulizeni aveva wenu zile pesa alizipeleka wapi?
 
hahaha. ..wallah yanga maboga...kisa kuwaiga simba
 
Nimefurahishwa na wanachama wa Yanga kumkubalia Manji kujikopesha Klabu ya Yanga kwa asilimia 75% huku wanachama wakibaki kuhudhuria mechi tu ambazo klabu yao itakuwa inacheza na kushangilia ikishinda au kuzomea ila hawatakuwa na sauti hata kidogo ya mwenendo wa klabu yao. Manji akiamua Yanga ipate matokeo mabaya hakuna wa kumpinga, kwani wanachama hawatakuwa na sauti.

Nilitegemea wanachama wa Yanga wangekubaliana kuwa Manji auziwe hisa tena asilimia 50% na zilizobaki ziwe za wanachama ili pande zote mbili zishiriki kwenye maamuzi ya Klabu, lakini kwa utaratibu wa kumkopesha Manji kwa asilimia 75% wanayanga make mkao wa kulia tu hamtakuwa na maamuzi kwa miaka 10 bora mngempa hata miaka 5 kwanza ya majaribio.
Mambo mengine muwe mnauliza kabla yakujifanya wajuaji. Sasa hapo umeandika nini?
 
Hujui unachoongea,
Hao wanachama kwa miaka zaidi ya 50wameshindwa kufanya ayo unayoyasema.
Wameshindwa kudhibiti nembo inatumika ovyo, jezi,.

Sasa acha apewe mtu ambae atadhibit kibiashara,
CHA msingi ni mikataba ikae sawa tu
Wabongo wanajifanya wajuaji sana. Muda wote hawakujua kama tomu ina mapato mengi mpaka pale alipojitokeza Manji
 
Mitano ya nini! Wangempa miwili kwanza kwa 50% waangalie ufanisi na changamoto lakini 75%! Wameula wa chuya, watakuja kutoana macho hawa! Wakati ukuta!
Ni mwekezaji gani anayechukua 50% ya hisa wakati yeye ndiye mwenye kutoa fedha yote? Badilikeni
 
Ni mwekezaji gani anayechukua 50% ya hisa wakati yeye ndiye mwenye kutoa fedha yote? Badilikeni

"Kutoa fedha yote" nje ya mkataba wa kibiashara does not count, ni unazi, ushabiki and what have you! Manji anaiingiza chaka Yanga by taking advantage ya "Njaa na kutokujua" impact ya agenda ya Manji kwa wanachama wa Yanga, its a matter of time wakizinduka watatoana macho!
 
Ok. Suala ni kusubiri mkataba tuuone. Habari ya idadi ya hisa itategemea mkataba. Pili, ujuaji unaokuja sasa badala ya miaka umi iliyopita unashangaza. Tangu ini Yanga haijawahi kumtegemea Manji? Baada ya miaka kumi watu watajua nini maana ya kuendesha klabu ya soka. Until then, tutabaski kupiga bla bla tu na ujuaji mwingi. We need to learn the hard way. Twendeni utumwani Misri kwanza
 
Back
Top Bottom