NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Ila mkuu si kna ma auditor,internal na externalActually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Mimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.
Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.
Asante MANJI.
wewe ni shabiki wa bodaboda fc????Hebu tuwekee huo mkataba hapa, na uache blah blah.
Asante sana, Mungu akurehemu.wewe ni shabiki wa bodaboda fc????
kama jibu NDIO basi nyie ni mambulula! punguani waheeed!
mmeshakodishwa hadi akili zenu!
Management ya nini?Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
RIP bodaboda fc!Asante sana, Mungu akurehemu.
Braza acha kupuyanga ,hujui kitu nani amekuunga JF?Hao akina Pope ndio wanachama wenyewe, uwepo wao unahakikisha kinachovunwa na klabu kinabaki klabuni, tofauti na YM ambapo mkataba unasema atachukua management klabu ibaki na majengo na viwanja
Ww unamsema mwenzio lkn ujue sisi wapembeni tunaona kabisa amekuzidi busara na uelewa,kaa tu kimya..RIP bodaboda fc!
POA, WAMATOPENI.RIP bodaboda fc!