Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Nyie mnapinga hakuna kitu kikaendelea kama hakuna uekezaji hip ndio tarifa kamili
Angalieni watu wengi ambao walikua na nyumba kariakoo waliokubali uekezaji nyumba zao zilibomolea na kujenga magorofa kisha wanagawana nusu kwa nusu
Sasa wanamaisha mazuri sana wana somesha watoto wao shule nzuri kwa sababu wanajivunia uekezaji uliofanyika

Angalia wale waliongangania mijumba yao ya miti kariakoo maisha yao no duni utaona wanakalia kupika vitumbua tu asubui had I jioni kula kwao no kwa shida hats pakia na maduka bei haizidi laki tatu kwa mwezi
Wakati ye aliekabali uekezaji wa gorofa fremu Moja no ml 1 na ziadi
 
Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Ila mkuu si kna ma auditor,internal na external
 
Mimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.

Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.

Asante MANJI.

wanaopinga intervention ya Manji waje na plan B iliyo bora zaidi. muhimu ni viongozi wawe makini na mkataba ili kuhakikisha contractual obligations zinakuwa fulfilled so that either party iwe accordingly pernalised kukiwa na default.

kingine.....kwa wapenzi wengi wa timu yoyote ya mpira ninaamini muhimu zaidi ni silverware. aki-guarantee hilo kwa 10 yrs mfululizo, then poa tu.
 
Hebu tuwekee huo mkataba hapa, na uache blah blah.
wewe ni shabiki wa bodaboda fc????

kama jibu NDIO basi nyie ni mambulula! punguani waheeed!

mmeshakodishwa hadi akili zenu!
 
Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Management ya nini?
 
Hao akina Pope ndio wanachama wenyewe, uwepo wao unahakikisha kinachovunwa na klabu kinabaki klabuni, tofauti na YM ambapo mkataba unasema atachukua management klabu ibaki na majengo na viwanja
Braza acha kupuyanga ,hujui kitu nani amekuunga JF?
 
Back
Top Bottom