Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Sasa klabu inakodishwa hii mbona sijaelewa, kwa hiyo hizi klabu uwendeshaji hawa wazawa umewashinda kabisa yaani, kama mmeamua hivyo kwa nini hakuna michakato na tafiti mjue kiasi halali cha kukodishwa hiyo klabu maana imekuwa ghafla halafu mtu anatoa sauti halafu imepita hiyo, kaaazi kweli kweli.
 
Leo ni ombi,ndo maana kamati ya wadhamini itakaa na kuona jinsi gan itakavyo kuwa
Ninachojiuliza ni kwamba kwenye huo mkutano hakuna mtu aliyeweza kupinga ama kudai njia nyingine ya uwendeshaji tofauti na huo mfumo wa hisa wa kukodishwa klabu mpaka pendekezo moja tu ndo lililochukuliwa na kujadiliwa na hiyo bodi ya wadhamini, hii maana yake hilo ombi limeshapita.
 
Dah! kuanzia leo mimi sio Shabiki wa YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB mpaka pale Timu yetu wa Wananchi utakaporejeshwa baada ya 10!!!
 
Kwa mtu mwenye akili akili timamu hawezi asilali kukubali mkataba huo...
" eti ikipatikana hasara inabaki juu yangu ila faida club inapata 25% yeye 75% " seriously,? Wanachama wa Yanga wana akili timamu kweli ama walikua "intoxicated"??
 
tena jamaa anawaingiza chaka kwa akili kweli,faida ya wote hasara yake,waswahili tusivyopenda hasara na kupenda njia ya mkato hapo lazima tuingie tu kingi kiulainii
 
1470495767676.jpg
 
Ninachojiuliza ni kwamba kwenye huo mkutano hakuna mtu aliyeweza kupinga ama kudai njia nyingine ya uwendeshaji tofauti na huo mfumo wa hisa wa kukodishwa klabu mpaka pendekezo moja tu ndo lililochukuliwa na kujadiliwa na hiyo bodi ya wadhamini, hii maana yake hilo ombi limeshapita.
kwanini wapinge..? Huyo atakaepinga aseme ameisaidia nini Yanga
 
Hakuna cha ajabu hapo. Kwani TP Mazembe inamilikiwa na mtu au wananchi?
 
Am Young Dar African Sports Club,

Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?

Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!

Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.

Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!

Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.

Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!

Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?

Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss

Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!

BACK TANGANYIKA

Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. Mfano
1. Hoja ya vyama vingi au kimoja
2. Muungano
3. Ujio wa Rais Bush nakukaa siku 4
4. Ujio wa Rais Obama
5. Safari za Rais Kikwete nje ya nchi
6. Kutofanya safari nje ya nchi Rais JPM
7. EAC
8. Kuhamia Dodoma
9. Mo kuwekeza hisa club ya Simba
10. Manji kuikodisha Yanga kwa 75%
11. Hoja ya Yanga kuwa Kampuni
12. Mabasi ya mwendo kasi
13. Wafanyakazi hewa.
14. Wanafunzi wasio na sifa kujiunga vyuo viku
15. Vita ya kagera
16. Vijiji vya ujamaa
17. Siasa ni kilimo
18. Kilimo kwanza
19. Operation majangili
20. Matumizi ya EFD

Kila jambo mbogo ni kukosoa tu na kuwa na mashaka.

Simba na Yanga nusu karne yote wamefanya lipi la maana. Tuache uoga wa kufanya mabadiliko.

Nina imani waliokuwa wanakosoa uanzishwaji wa mabasi ya mwendo kasi, leo hii hawaishi kuyagombania kupanda tena wakali hao ukijaribu kuwahi kuingia kabla yao.

Acheni mazoea na akili mgando
 
Hawa jamaa kweli vilaza wa kimataifa. Wanakubaliana na manji bila kujua kwa Kina dhamira yake kwa miaka hiyo kumi ijayo.
 
Back
Top Bottom