Ninachojiuliza ni kwamba kwenye huo mkutano hakuna mtu aliyeweza kupinga ama kudai njia nyingine ya uwendeshaji tofauti na huo mfumo wa hisa wa kukodishwa klabu mpaka pendekezo moja tu ndo lililochukuliwa na kujadiliwa na hiyo bodi ya wadhamini, hii maana yake hilo ombi limeshapita.Leo ni ombi,ndo maana kamati ya wadhamini itakaa na kuona jinsi gan itakavyo kuwa
mbumbumbu fcmkuu hao wanahofu mno....baada ya Mo kuwekeza Simba. vyura nao wamekurupuka ili wapate cha kusema
Ulitakaje labda.Sisi watanzania mabwege sana
kwanini wapinge..? Huyo atakaepinga aseme ameisaidia nini YangaNinachojiuliza ni kwamba kwenye huo mkutano hakuna mtu aliyeweza kupinga ama kudai njia nyingine ya uwendeshaji tofauti na huo mfumo wa hisa wa kukodishwa klabu mpaka pendekezo moja tu ndo lililochukuliwa na kujadiliwa na hiyo bodi ya wadhamini, hii maana yake hilo ombi limeshapita.
ondoka tu umeisaidia nini yanga zaidi ya kuchekelea kuingizwa bure uwanja wa TaifaDah! kuanzia leo mimi sio Shabiki wa YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB mpaka pale Timu yetu wa Wananchi utakaporejeshwa baada ya 10!!!
Huyo Zitto atuambie ameshasaidia nini kwenye michezo...Jimbo lake mwenyewe limemshinda hakuna alichofanya
Kwani wewe Yanga SC iliahakusaidia nini au ilisaidia nini ile Jamii ya Mtaa wa Jangwani?ondoka tu umeisaidia nini yanga zaidi ya kuchekelea kuingizwa bure uwanja wa Taifa
Huyo Zitto atuambie ameshasaidia nini kwenye michezo...Jimbo lake mwenyewe limemshinda hakuna alichofanya
Am Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
BACK TANGANYIKA
Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. MfanoAm Young Dar African Sports Club,