Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Habari za mwanzo ni ilikua nae atoe bilioni 25 kisha achukue 50% lakini mpango huo ukavurugwa na kigogo mmoja alietaka kutoa bilioni 65 kwa asilimia hzo hzo ndo ili kumvua huyo mshindani akaamua kujikodisha, swali linakuja hivi ndani ya miaka kumi akiishusha daraja je, akiamua kuitumia yanga kukopea hela benki je, tujiulize maswali kabla ya kumkubaliaNikuulize sisi wana chama tuna faidika nini sasa hivi zaidi ya ubishi bora manji awekeze tu maana wataweza pata ajira kuliko sasa hivi
Am Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
BACK TANGANYIKA
Endelea kuota tu kwani ile Raman ya uwanja iliishia wapi mkuu!?Nimemuelewa MANJI ana nia nzuri kitu cha muhimu ni uwazi naota kuanza kuona vitu vifuatavyo
1:YANGA FC TV
2:JEZI ZIKIUZWA KWA MPANGILIO MZURI NA WA FAIDA
3:bidhaa mbali mbali zenye logo ya YANGA FC
TIMU YETU ITATUMIKa kibiashara zaidi tuache wanao sema tuna kodisha timu ila baadaye wata tuonea wivu 25% ya faida sio mbaya kwani sasa ivi atuitumie club yetu ki biashara ila ni vema tukawekeana mkataba pia napenda tuiboreshe katika
1:mitandao website na social network page ziendeshwe na wataalamu
2:Magazeti yaongezeke
3:tuwe na kituo cha radio Jangwani fm
4:tuwekeze kwenye usafiri
5:kituo cha kulelea vipaji mbali mbali
Nimefurahishwa Na Wanachama wa Yanga kumkubalia Manji kujikopesha Klabu ya Yanga Kwa asilimia 75% huku wanachama wakibaki kuhudhuria mechi tu ambazo klabu yao itakuwa inacheza na kushangilia ikishinda au kuzomea ila hawatakuwa Na sauti hata kidogo ya mwenendo wa klabu yao.Manji akiamua Yanga ipate matokeo mabaya hakuna wa kumpinga, kwani wanachama hawatakuwa Na sauti.Nilitegemea wanachama wa Yanga wangekubaliana kuwa Manji auziwe hisa tena Asilimia 50% Na Zilizobaki ziwe za wanachama ili pande zote mbili zishiriki kwenye maamuzi ya Klabu, lakini Kwa utaratibu wa kumkopesha Manji Kwa asilimia 75% Wanayanga make mkao wa kulia tu hamtakuwa Na maamuzi Kwa miaka 10 bora mngempa hata miaka 5 kwanza ya majaribio.
Hata maturubai yanakodishwa na vitiEndelea kuota tu kwani ile Raman ya uwanja iliishia wapi mkuu!?
Benki gani itakubali kumkopesa manji kwa mali ambazo si zake ?Habari za mwanzo ni ilikua nae atoe bilioni 25 kisha achukue 50% lakini mpango huo ukavurugwa na kigogo mmoja alietaka kutoa bilioni 65 kwa asilimia hzo hzo ndo ili kumvua huyo mshindani akaamua kujikodisha, swali linakuja hivi ndani ya miaka kumi akiishusha daraja je, akiamua kuitumia yanga kukopea hela benki je, tujiulize maswali kabla ya kumkubalia
Ha ha ha ha mkuu huyo manji ndo zake hzo, ametumia viwanja vingi kukopea benki na kuja kujenga hapo hapo ila subiri wajuvi wa benki watakujaBenki gani itakubali kumkopesa manji kwa mali ambazo si zake ?
Mijitu ya Yanga haina uwezo wa kufikiri..Nimefurahishwa Na Wanachama wa Yanga kumkubalia Manji kujikopesha Klabu ya Yanga Kwa asilimia 75% huku wanachama wakibaki kuhudhuria mechi tu ambazo klabu yao itakuwa inacheza na kushangilia ikishinda au kuzomea ila hawatakuwa Na sauti hata kidogo ya mwenendo wa klabu yao.Manji akiamua Yanga ipate matokeo mabaya hakuna wa kumpinga, kwani wanachama hawatakuwa Na sauti.Nilitegemea wanachama wa Yanga wangekubaliana kuwa Manji auziwe hisa tena Asilimia 50% Na Zilizobaki ziwe za wanachama ili pande zote mbili zishiriki kwenye maamuzi ya Klabu, lakini Kwa utaratibu wa kumkopesha Manji Kwa asilimia 75% Wanayanga make mkao wa kulia tu hamtakuwa Na maamuzi Kwa miaka 10 bora mngempa hata miaka 5 kwanza ya majaribio.