Hatimaye yule binti bikira wa Bei ghali aolewa rasmi

Hatimaye yule binti bikira wa Bei ghali aolewa rasmi

Duuh! Hatimaye kachukuliwa. Japo sura ya bi harusi hana hata chembe ya kufurahia kinachotokea. Aiseee.

Haya bana tuwaachage na tamaduni zao. Kila la kheri kwa mdada.
Hivi kuna msichana anaweza kufurahia jambo ambalo hajawahi kulifanya hata siku Moja tena kwenye halaiki kubwa namna ile ?

Unafikiri kwanini mama zetu zamani walikuwa wanalia siku ya kuolewa ?
 
Wewe kama nani unasema hivo?
Unafahamiana na huyo mzee?
Tuheshimu tamaduni zao. Mwacheni Mtoto akale maisha ni bahati iliyoje kuolewa akiwa bikra tena kwa jamaa mwenye ukwasi wote huo ?
 
Hivi kuna msichana anaweza kufurahia jambo ambalo hajawahi kulifanya hata siku Moja tena kwenye halaiki kubwa namna ile ?

Unafikiri kwanini mama zetu zamani walikuwa wanalia siku ya kuolewa ?
Mmh. Hivyo halaiki kubwa ndio sababu ya mnuno wa bi harusi eee?
 
Watu wazima tu ndiyo hujiachia kwa furaha kwa sababu nao walishakuwa makungwi tayari hakuna wasichokijua kwa mwanaume.

Huyo hajui lolote zaidi ya kuwaona wanaume barabarani tu
Mmh. Hivyo halaiki kubwa ndio sababu ya mnuno wa bi harusi eee?
 
Nilipo angalia picha zote za Nyalong', kwakweli hakuna picha ambayo binti alionekana hata akitabasamu.
Kwakifupi Nyalong' hana furaha.
Uko sahihi sana,she has been unhappy at almost all the events..
 
Back
Top Bottom