Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea ingine Danger, shimo limo tema ft AyKwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk
Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
Acha bange, hizo zinahusiana nini na mapenzi?Ongezea ingine Danger, shimo limo tema ft Ay
wew sikiliza mistari ya ndani usiangalie title.......Acha bange, hizo zinahusiana nini na mapenzi?
kapandisha sauti wapi mkuu angalia wizkid zile ndo sauti zinazotakiwa kwenye kolasi kwasababu bella hamjamzoea ila me naona kaitendea haki fid q mpaka mapenzi mistar migum mpaka mwisho wasiku haelewiki nini anazungumzi watu hawana muda wakutafsir maandish jamaa anakaza sana ndo tatizoKwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk
Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
Mimi ni fan mkubwa wa Fidq na Bella. Naelewa uwezo wao na nakubali Kazi zao nyingi, zaidi naelewa technicalities za muziki kuliko mtu wa kawaida I'd say.kapandisha sauti wapi mkuu angalia wizkid zile ndo sauti zinazotakiwa kwenye kolasi kwasababu bella hamjamzoea ila me naona kaitendea haki fid q mpaka mapenzi mistar migum mpaka mwisho wasiku haelewiki nini anazungumzi watu hawana muda wakutafsir maandish jamaa anakaza sana ndo tatizo
Hiyo nagharamia napinga kabisa,Bella kasimama vema sana mpaka Kiba kafunikwaKwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk
Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
ni kweli bela kaharibuKwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk
Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
nyie watu mnanichanga thread inajieleza vizur kabisa fid q ft bella roho hiv unashidwa kusachi kule google wakakuletea siwaelewag nye watuMwenye wimbo huo aweke basi na sisi tuiklze