Hatimaye yule mgumu wa bongo amelegeza

Hatimaye yule mgumu wa bongo amelegeza

Kwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk

Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
 
Ongezea ingine Danger, shimo limo tema ft Ay
 
Kwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk

Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
kapandisha sauti wapi mkuu angalia wizkid zile ndo sauti zinazotakiwa kwenye kolasi kwasababu bella hamjamzoea ila me naona kaitendea haki fid q mpaka mapenzi mistar migum mpaka mwisho wasiku haelewiki nini anazungumzi watu hawana muda wakutafsir maandish jamaa anakaza sana ndo tatizo
 
Mimi ni fan mkubwa wa Fidq na Bella. Naelewa uwezo wao na nakubali Kazi zao nyingi, zaidi naelewa technicalities za muziki kuliko mtu wa kawaida I'd say.

Roho sauti ya Bella kuna sehemu ipo off key yani imeenda juu sana sikiliza kwa makini utaelewa na hili Bella karudia kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba. Mastering ya wimbo inapwaya ila hili ni tatizo sugu kwenye bongo music sababu ya producers kutokuwa na vyombo vya kisasa so siwezi wapa lawama wasanii.

On wizkid, mimi ni Bonge ya hater wa Nigerian music so simfuatilii kabisaaa.
 
Kwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk

Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
Hiyo nagharamia napinga kabisa,Bella kasimama vema sana mpaka Kiba kafunikwa
 
Kwanza tayari kuna uzi kuhusu huo wimbo. Pili hujui muziki wala Fidq mwenyewe, Fidq hajaanza kuimba mapenzi Leo kuna nyimbo kadhaa kaimba kuhusu mapenzi kama Usinikubalie haraka ft Matonya, Kadi na ua Rose ft Jay Dee nk

Sauti ya Bella imegeuka kelele kwenye wimbo wa Roho, Bella kapandisha sana sauti kama alivyofanya kwenye nagharamia ft Kiba na kuharibu wimbo
ni kweli bela kaharibu
pia amezidi kulalamika
mpaka mziki unakosa ladha
 
Nitaufuatilia huo wimbo nione ukoje ...
 
Nyimbo ambayo bella kashirikishwa kanikosha ni ile na Linex ewala
 
Back
Top Bottom