State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa jeshi lake kukosa nguvu na uwezo wa kukabiliana na majeshi ya Kremlin.
Hivyo, amesema njia pekee iliyobakia ya kumaliza mzozo huo ni njia ya mazungumzo m, (yaani diplomasia)ambayo itahitaji msaada kutoka jumuiya ya kimataifa.
Pro -Ukraine mnazungumziaje hii kauli ya ya kipenzi chenu bwana Zelensky!?