Hatimaye Zelensky akiri hadharani jeshi lake haliwezi kuyarejesha maeneo yake yaliyokombolewa na urusi

Hatimaye Zelensky akiri hadharani jeshi lake haliwezi kuyarejesha maeneo yake yaliyokombolewa na urusi

sijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Kwa sababu huu mgogoro au meaning wza siasa za kimataifa umeanzq kufatilia mwaka huu mwez huu hujui nani kamsaliti mwenzake na kwa lipi na jee huko nyuma hali kama hii ilijitokeaza wapi na iliamuliwaje kwa hyo endelea kushangaa taa za tanzqnite bridge usiku ukifika asbh hazitotoa tena mwanga hapa sio jukwaa lako
 
View attachment 3182408
mbinu za kivita tu mkuu leo kitu icho kimeingia katikati russia, apo kabla ilikuwa haiwezekani kushambulia ndani ya urusi sasa mjengo unawaka moto huo
AFU Kitu wanachoweza ni kufanya mashambulizi yanayolenga raia wasio na hatia na mali zao( in other words wanafanya ugaidi)
 
Back
Top Bottom