Kwa sababu huu mgogoro au meaning wza siasa za kimataifa umeanzq kufatilia mwaka huu mwez huu hujui nani kamsaliti mwenzake na kwa lipi na jee huko nyuma hali kama hii ilijitokeaza wapi na iliamuliwaje kwa hyo endelea kushangaa taa za tanzqnite bridge usiku ukifika asbh hazitotoa tena mwanga hapa sio jukwaa lakosijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia