State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
PovuTAFUTA HELA........!!!!
KIJANA
TAFUTA HELA.... MDOGO WANGUPovu
"Often those that criticize others reveal what he himself lacks." – Shannon L. AlderTAFUTA HELA.... MDOGO WANGU
UKIFIKISHA MIAKA 40....UTAELEWA KWANINI KAKA ZAKO HATUJIISHISHI NA SIASA ZA WALIMWENGU AU MPIRA.
TUNATAFUTA HELA TU 24HRS
sijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha duniaAkiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa jeshi lake kukosa nguvu na uwezo wa kukabiliana na majeshi ya Kremlin.
Hivyo, amesema njia pekee iliyobakia ya kumaliza mzozo huo ni njia ya mazungumzo m, (yaani diplomasia)ambayo itahitaji msaada kutoka jumuiya ya kimataifa.
View attachment 3182316
Pro -Ukraine mnazungumziaje hii kauli ya ya kipenzi chenu bwana Zelensky!?
Shetani Ndio Nani??Au Ni Yaleyale Ya Kusadikisijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Amka Toka Usingizini Utajikojoleasijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Acha kelele ni mbinu za kivita tu, zelensky saiv yuko mbali sana, anashambulia urusi akiwa ndani ya urusi, anategeneza silaha zake mwenyeweAkiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa jeshi lake kukosa nguvu na uwezo wa kukabiliana na majeshi ya Kremlin.
Hivyo, amesema njia pekee iliyobakia ya kumaliza mzozo huo ni njia ya mazungumzo m, (yaani diplomasia)ambayo itahitaji msaada kutoka jumuiya ya kimataifa.
View attachment 3182316
Pro -Ukraine mnazungumziaje hii kauli ya ya kipenzi chenu bwana Zelensky!?
Hela anazo nyingi sana.sema jamii forum hamufahamiani tuTAFUTA HELA.... MDOGO WANGU
UKIFIKISHA MIAKA 40....UTAELEWA KWANINI KAKA ZAKO HATUJIISHISHI NA SIASA ZA WALIMWENGU AU MPIRA.
TUNATAFUTA HELA TU 24HRS
''Yaliyokombolewa'' ndiyo kauli gani?Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa jeshi lake kukosa nguvu na uwezo wa kukabiliana na majeshi ya Kremlin.
Hivyo, amesema njia pekee iliyobakia ya kumaliza mzozo huo ni njia ya mazungumzo m, (yaani diplomasia)ambayo itahitaji msaada kutoka jumuiya ya kimataifa.
View attachment 3182316
Pro -Ukraine mnazungumziaje hii kauli ya ya kipenzi chenu bwana Zelensky!?
Amka Toka Usingizini Utajikojoleasijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Yalikombolewa Kwa maana ni maeneo yenye warusi zaidi, ambayo yalikuwa Ukraine, Sasa yamerejeshwa au kukombolewa.''Yaliyokombolewa'' ndiyo kauli gani?
Kwani yalikuwa utumwani?
Kwani kujihusisha na siasa kuna kuzuia kutafuta hela?TAFUTA HELA.... MDOGO WANGU
UKIFIKISHA MIAKA 40....UTAELEWA KWANINI KAKA ZAKO HATUJIISHISHI NA SIASA ZA WALIMWENGU AU MPIRA.
TUNATAFUTA HELA TU 24HRS
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa jeshi lake kukosa nguvu na uwezo wa kukabiliana na majeshi ya Kremlin.
Hivyo, amesema njia pekee iliyobakia ya kumaliza mzozo huo ni njia ya mazungumzo m, (yaani diplomasia)ambayo itahitaji msaada kutoka jumuiya ya kimataifa.
View attachment 3182316
Pro -Ukraine mnazungumziaje hii kauli ya ya kipenzi chenu bwana Zelensky!?
Wewe ushawahi kuona jeshi la urusi hapo tandahimba? Why uwachukie sasa kama hujawahi kuwa effected personally?sijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Kama ambavyo wewe una mkubali Netanyahu na Israel.sijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Weka link Acha habar za kwenye vijiwe vya kahawa msikitini kenge wahedAkiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022 (Donetsk, Luhansk, Kherson, and Zaporizhzhia), pamoja na Crimea-lilichukuliwa tangu mwaka 2014.