Hatimaye zile Km 51 zilizokuwa na vumbi zimekamilka. Sasa kutoka Dar hadi Kigoma ni lami

Barabara ya kutoka Kahama-Kigoma via Kibondo na Kasulu kuja kukutana na barabara inayotoka kazuramimba pale Kidahwe nayo imewekwa rami? mwenye update tafadhali.
 
Arusha to Musoma n ngumu hizo vipande vya hifadhi ya Serenget na Ngorongoro walitaka kuweka mamlaka zilikataa kwa sababu ya nature ndy maana imebaki mpaka sasa
 
Arusha to Musoma n ngumu hizo vipande vya hifadhi ya Serenget na Ngorongoro walitaka kuweka mamlaka zilikataa kwa sababu ya nature ndy maana imebaki mpaka sasa
Hawajakataa popote na hata kama walikataa hawatupangii na ujenzi unaendelea.

Kwani Kuna zuia nini hapo kuweka fence na vivuko vya wanyama?

Na zile sehemu zingine ambazo Hazina fence kujenga Kwa teknolonia ya mawe Ili kudhibiti speed?

Watu hawajaishiwa akili.
 
N kwl ila walitowa sababu lukuki kuwa cha kwanza kupoteza asili wanyama kuhama pia barabara ipo ya kupitia mwanza so ile n kama ya ziada
 
N kwl ila walitowa sababu lukuki kuwa cha kwanza kupoteza asili wanyama kuhama pia barabara ipo ya kupitia mwanza so ile n kama ya ziada
Binadamu hajaishiwa maarifa hizo ni propaganda za Wakenya kuzuia maendeleo ya Utalii wa Tanzania.

Serikali itajenga Kwa modelity niliyokueleza au laa wata divert sehemu ambazo haikatishi Kwa urefu hiyo Barabara na ujenzi unaendelea huko.

Tena sio Barabara tuu Hadi reli Iko mbioni .
 
🤣🤣🤣 tusubr
 
Pia naomba ile inayotoka tanzania kwenda jehanamu itengenezwe ile kuwarahisishia ccm kwenda kuungua jehanamu
 
ili kuweka mambo ilitakiwa aseme hivi, "wananchi wanaishukuru serikali" au wananchi wanaishukuru serikali chini ya mh.rais dr. Samiah
Wanaishukuru serikali kwa lipi, kwani hizo barabara si zinajengwa kwa kodi zetu na kama ni mikopo si ni sisi wananchi ndio tutazilipa kwa kodi zetu.

Serikali yoyote iliyopo madarakani ni lazima itajenga hizo barabara. Kwani mnafikiri wananchi ni wajinga tu siku zote. Acheni kuleta siasa za kijinga.
 
Sasa ww taahira umesema section ya mwisho ndio ilianza 2022 ,maana yake hizo section nyingine zilijengwa na makalio yako?
Hizo section nyingine zina KM ngapi ukilinganisha na hiyo ya mwisho?
Akili yako ni finyu sana
Baada ya vizee vichawi vingi Kigoma kufariki dunia sasa maendeleo yameanza kuonekana kigoma
 
Mkuu hauna update za mradi wa rami kutoka Namanyere mpaka kirando ili kuweza kuunganisha Bandari ya kipiri ? Maana njia hii ni muhimu kwa uchumi wa wilaya ya Nkasi na mkoa kwa ujumla wake.
Kwa kuzingatia kichwa cha habari ,hii taarifa unayotoa hapa si sahihi.Kipande cha kibaoni uvinza mpaka kijiji cha chakuru bado
 
Muhimu zilizobaki

-Mbeya-Tabora
-Songea-Morogoro
-Njombe-Morogoro
-Arusha-Musoma
-Mpanda-Kigoma
-Tanga-Singida
-Iringa-Morogiro-Lindi.
Hapana, muhimu zilizobaki ni
Kyela - Njombe
Kigoma - Bihalamuro
Tunduma -Kyela
Chunya - Sumbawanga
Chunya - Tabora/Singida
 
Sawa,ngoja nikusanye hela ya mafuta Krimass nikalie Kigoma...
 
Kama zinajengwa Kwa Kodi zako ndio hawapaswi kunishukuru Serikali?
 
Kama zinajengwa Kwa Kodi zako ndio hawapaswi kunishukuru Serikali?
Sasa shukurani hiyo maana yake nini wakati zinajengwa kwa kodi zao na wala rais hatoi hela yake mfukoni au kwenye mkoba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…