Hatimaye zile Km 51 zilizokuwa na vumbi zimekamilka. Sasa kutoka Dar hadi Kigoma ni lami

Una akili finyu,kwamba Serikali itoe kipaomnele kwenye Barabara za Mikoa na kuacha Trunk roads si ndio?
Wewe unashupalia trunk road badala ya umuhimu wa maeneo niliyataja kufikika kirahisi? Unafikiri kwa nini baadhi ya wilaya zinaunganishwa kwa lami haraka kuliko mkoa na mkoa?
 
Una akili finyu,kwamba Serikali itoe kipaomnele kwenye Barabara za Mikoa na kuacha Trunk roads si ndio?
Nadhani Kigoma - Biharamulo ni trunk road Kwa maana ya Kigoma - Kasulu - Kibondo - Kankoko - Nyakanazi - Lusaunga - Biharamulo - Muleba - Bukoba na ni lami kwa kiasi kikubwa kutoka Bukoba - Muleba - Biharamulo - Lusaunga - Nyakanazi - Kakonko na ipo under construction upande wa Kigoma nadhani kipande cha Kasulu to Kigoma.

Sijui mdau (Synthesizer ) anamaanisha barabara gani ya Kigoma - Biharamulo
 
Kazi nzuri sana.
Sasa wakajenge Ifakara Lupiro Malinyi mpaka Namtumbo ili kuunganisha mkoa morogoro na Ruvuma
 
Hivyo hivyo mkuu, section ya Kigoma - Kasulu - Kibondo - Kankoko - Nyakanazi - Lusaunga - Biharamulo
 
Hivyo hivyo mkuu, section ya Kigoma - Kasulu - Kibondo - Kankoko - Nyakanazi - Lusaunga - Biharamulo
Huku upande wa Biharamulo kuna lami kitambo tu kutokea Bukuba kwenda Lusaunga mpaka Nyakanazi unaunga mpaka Kahama ila kwa Nyakanazi kwenda Kigoma ipo kwenye ujenzi Kwa fedha za world bank na mpaka Kakonko from Nyakanazi palikuwa pamekakilika (nadhani wanaweza wakawa wamefika Kibondo, ngoja waje wanaopita hiyo njia watatoa updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…