Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Hatimisho: Nimefika salama Marekani

The day I land USA ndio inakua ni nchi yangu ya maisha. I mean it and I'll do everything legal to change my citizenship even though it'll not be simple. The only thing that will make me to come back to Bongo land a.k.a Tanzania is to check how my folks and My siblings doing and the next month I'll fly back to America. By the way congratulation to you man because getting USA Visa is not a child's play.
Thanks man, just few knows that,keep the spirit you will succeed.
 
Askuriwe Mungu kwa kufika mkuu
IMG_4224.jpg

.Ikikupendeza nitakutumia hela unitumie hichi kitabu
 
Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kukamilisha ndoto zangu.

Pili napenda kuwashukuru wadau wakubwa humu jukwaani kwa support kubwa ya mawazo tangu nilipoweka nia ya kuondoka nchini kwetu, Mungu awabariki sana (wote mnaotambua uwepo wake na utendaji kazi wake).

Kwa kutaja baadhi, Bufa Kiranga Matola Smart911 na wengine wengi.

Hakika USA ni nchi ya ajabu sana, ni nzuri kwa namna ambayo siyo rahisi kusimulia kwa maneno, miundombinu mizuri sana kila kitu ni kizuri sana tofauti na kwetu, wameendelea sana (sidharau nasema uhalisia).

Nilianza safari yangu, kutoka Dar hadi Schiphol airport - Netherlands kwa KLM, kisha Amsterdam - JFK Airport New York kwa Delta.

Kutoka hapo, nikachua bus (42nd at Port Authority, gate 66, Greyhound, kuelekea Pittsburgh - Pennsylvania. Kutoka hapo nikabadilisha gari hadi Columbus Ohio.

Namshukuru Mungu nimefika salama, nimepokewa vizuri, nina furaha, kwa wajuzi na wenyeji huku naombeni mnipe mawazo ili iwe rahisi kwangu kupata michongo na kutimiza adhma ya moyo wangu.

Natamani kubaki huku baada ya kumaliza course yangu ya miaka 3, nitafurahi ikiwa mtanisaidia njia zaidi ndugu zangu.

Niwasisitize vijana wenzangu tupambane tu haijalishi kipindi gani tunapitia, ikiwa umeweka nia thabiti Mungu hawezi kukuacha, juhudi na maombi huleta fanaka.

Ahsante sana.View attachment 2358268View attachment 2358267
Ikitokea nafasi nyingine, basi usisahau kumuunganisha huyu kijana wetu mpwayungu village. Naamini akifika huko, hakika atafurahi sana.
 
Mkuu Invigilator I couldn't be happier for you. Hongera sana na karibu kwenye nchi ya maziwa na asali. Land of the free and home of the brave. Sasa umevua gamba na umekua brave [emoji1787]

Michongo ipo mingi na kubaki inawezekana kabisa hata sisi tulikuja kama wewe ila hadi leo tunadunda hapa bongo tunaenda tukimiss kupigwa vumbi tu.

Aluta Continua.
Na huko kuna panya road kama Temeke ?
 
Back
Top Bottom