Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Gono inakula kizazi Cha mwanamke mpaka kinaisha, Nina shuhuda Kuna dada gono ilimla kwenda hospital wakakuta kizazi chekecheke ikabidi wakitoeMara nyingi wanakuwa nayo bila wao kujua.. wala kuwaletea shida. Shida unaipata ww Mwanaume.
Na huyo atakuwa kaambukizwa na Mwanaume mwingine tofauti na ww.
Kuna magonjwa Mwanamke akiwa nayo aisee inakatisha tamaa mfn Gono ni ugonjwa flan hivi wakipumbavu sana.
Wengi wanopata gono wanatoa kwa Malaya wa bei rahisi, pia wengine wanatafsiri Gono sawa na U.T.I ndio maana unaskia U.T.I inavuma ila humo humo na Gono ipo ni namna ya kuitafsiri vzr.
Demu mwenye gono ni kupiga chini na kufuta namba zake, hukuwepo kwenye kikao Cha mabaharia wewe mtoa mada??