Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mimi kwangu ni miujiza. Ni deal gani ya mtaji wa laki mbili inaweza kunipa faida ya milioni moja kwa mweziKwani milioni 300 unaona miujiza!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwangu ni miujiza. Ni deal gani ya mtaji wa laki mbili inaweza kunipa faida ya milioni moja kwa mweziKwani milioni 300 unaona miujiza!!??
Punguza makasiriko mkuu[emoji2][emoji2]Fala wewe, Baki na listoli lako la kutunga. Kwani muda unayotumia safarin hadi Znz unashindwaje kumalizia?mpuyangu village ulochangamka
Kila la kheri mkuu[emoji848]Ilipoishiaa[emoji1484]
Imefika Lunch time najiandaa kwenda kupiga Menu yule Mzee nikamuona anaingia Ofisini halafu ana hasiri amekunja sura, nikajisemea hapa kimeshanuka nikaanza ku recall matukio ili nijue ni wapi nimekosea hasa kule nyumbani kwake, kote nilicheza safe na mara ya mwisho kuongea na huyu Mzee ilikuwa ni Ile Jumamosi akinipa mabadiliko ya ratiba yake huku akinipatia option mbili za yeye kupata gari yake, na Mimi nilivyochagua kubaki na Gari hadi Jumatatu sikumpigia tena simu kumjulisha uamuzi niliouchukua....nikapata majibu kwamba inawezekana hapo ndipo nilipo haribu, alikuja kwenye desk langu na kuniambia "nipatie funguo ya Gari na ukimaliza kazi nitafute" hata hakunisalimia akatoka nje ya ofisi akaondoka....
Muendelezo [emoji1484]
Ilivyofika saa tisa alasiri nikawa nishafunga makashabrasha yangu, nikamcheki Mzee, akanambia nimkute hoteli flani, kweli nilivyofika kwenye Ile hoteli nikakuta ile Alphard imepark kwa nje nikampigia simu, akanielekeza nikachoma ndani nikamkuta Mahali amekaa anakunywa Cappuccino, akamuita muhudumu akanambia niagize mm nikaitisha Passion Juice, Mzee akaanza kwa kuniuliza maswali "Nyumbani unaishi nani?" Nikamwambia peke yangu Mzee "Nakumbuka uliwahi kunambia kwamba Wazazi wako pia wanaishi hapa mjini, Ukiachana na Wazazi wako una ndugu wengine wanaishi hapa Dar?" nikamjibu ndio wapo wengi tu
"Okay! unajua ni vigumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi lakini ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu, ww upo tofauti na vijana wengi wenye umri kama wa kwako, nakuambia haya kwasababu Mimi vijana nawajua vizuri na wafanyakazi wangu wengi ni vijana, inawezekana wewe unalijua hili lakini vijana wengi hawajui kwamba ikitokea mtu amekuamini kwa haraka ujue kashaandaa mazingira flani ya kupambana na matokeo hasi, Ile siku Wakati nakuacha nyumbani kwangu Ile nyumba ilikuwa na Pesa nyingi sana, baadhi ya pesa zilikuwa sehemu ya wazi kabisa ila kwa haraka niliyokuwa nayo nilisahau hata kuzihifadhi mahala sahihi, kabla ya kukupigia simu wewe na kukupa maagizo ya kuingia chumbani kwangu nikakumbuka kwamba sijaweka mazingira sawa hivyo nilimpigia mmoja wa vijana wangu ninaowatumia katika kazi zangu za mjini nikampa maagizo aje maeneo ya nyumbani kwangu alivyofika ndio nikakupigia wewe, kwahiyo maeneo yote uliyokuwa unazunguka na gari Mimi taarifa nilikuwa nazipata huku nikihakiki kwenye system, Kitu nilichokipenda kutoka kwako ni kwamba ulifocus na maelekezo niliyokupa kuanzia nyumbani kwangu yani hukutaka kugusa hata heleni ya mke wangu, unajua unaweza ukawa sio mdokozi lakini kama ungeanza kugusa hiki mara kile tayari ningeanza kukutilia shaka, kila mtu ana tamaa lakini wachache wanaweza kujicontrol, Ukiachana na tamaa kingine nilichokipenda kutoka kwako ni sio mtu wa kurahisisha mambo, Nilipokupa kazi ya kugawa chakula kwa wenye uhitaji ulifanya kwa moyo wote kama vile nakulipa pasipo usimamizi angekuwa mtu mwingine angerahisisha hata kwa kugawa kwa watu anaowajua yeye"
Sawa Mzee Nimekuelewa lakini kama sijakuelewa pia, Yani maelezo yote haya yanamaanisha kwamba hukuniamini? "Hapana kijana wangu nilikuamini sana na umezidi kuweka mizizi ya kuendelea kukuamini, Nilichokuwa nakifanya nikujitengenezea mazingira ya kutojilaumu badae kwa chochote ambacho kingetokea kwasababu sisi ni Binadamu tuna madhaifu lolote linaweza kufanyika, unajua hata Ugonjwa unapoanza ni rahisi kuutibu lakini si rahisi kuugundua. Lakini kadri unavyokua, inakuwa ni rahisi kuugundua lakini ni vigumu kuutibu." Kiukweli nilikuwa nishaingiza baridi sikutegemea maneno haya kutoka kwa Mzee kwa vile nilivyomuona Ofisini nilijua kuna mahali nimeharibu,
Kumbe saa Ile Mzee anaingia Ofisini Dakika kama mbili nyuma Mzee alitoka kupokea simu iliyomkasirisha sana, na hakuwa comfortable kunielezea ni nini kimetokea, alinambia tu "Leo nilikuwa najua kabisa siku yangu inaenda kuisha vibaya, acha niende nyumbani kupumzika ni refresh akili nijue nakabiliana vipi na hili jambo, Kila Kitu kikiwa sawa nitakutafuta tuongee mengi zaidi ikiwemo Biashara lakini kuna mtihani hadi ufanye na ufaulu ndio nitakuonesha ulimwengu wa kibiashara wenye mafanikio, kwasababu sio wote Wanaofanya Biashara wanafanikiwa, wengi wanafeli na wanafelishwa na mambo ambayo pengine wanayajua ila wanayapuuza, kila mafanikio yanajumuisha maelfu ya vitendo vya ujasiri"
Nikajisemea moyoni haya ndio mambo niliyokuwa nayataka ila sasa huu mtihani ni mtihani gani tena, Mzee kakaa ki CIA CIA nitatoboa kweli huo mtihani?
Hayo ni mambo niliyokuwa najiuliza kichwani Wakati Mzee ana clear bill pale hotelini, tukaagana mzee alinichukulia moja ya tax zilizokuwa zimepark nje ya Ile hoteli, yeye akaingia ndani ya Alphard akaondoka na Mimi nikashika njia ya kuelekea Tabata
Sasa huo mtihani ndio umesababisha kuanzisha huu Uzi, naona episode zinaenda kuwa 3 badala ya 2 kama nilivyopanga mwanzo hii nikutokana na pressure za baadhi ya memba humu imenibidi niipost hivyo hivyo bila kuikamilisha yote
Watu wanawaza uchawu tu. Yaani washaanza kumhukum mtoa stori. Tatizo shuguhuli nyingi za watz zinahusisha usiri mkubwa unaotoana na uharamu wake kama wizi, ujambazi, kuuana, kulogana n.kKwani mada inahusu kwenda kwa mganga!?
Atujambo[emoji23]Wabongo kwa kuwza ushirikiana...![emoji23][emoji23]
Bangi japo sikushauri manake ni kosa la jianaiMimi kwangu ni miujiza. Ni deal gani ya mtaji wa laki mbili inaweza kunipa faida ya milioni moja kwa mwezi
Kabla hujamaliza story nakushauri kuwa makini au achana kabisa na huyo tajiri atakuwa na mambo mabaya sana yaliyofichika. Ila nasubiri kwa hamu umalizie story ni nzuri sana na ina mafundisho mazuri.Ilipoishiaa[emoji1484]
Imefika Lunch time najiandaa kwenda kupiga Menu yule Mzee nikamuona anaingia Ofisini halafu ana hasiri amekunja sura, nikajisemea hapa kimeshanuka nikaanza ku recall matukio ili nijue ni wapi nimekosea hasa kule nyumbani kwake, kote nilicheza safe na mara ya mwisho kuongea na huyu Mzee ilikuwa ni Ile Jumamosi akinipa mabadiliko ya ratiba yake huku akinipatia option mbili za yeye kupata gari yake, na Mimi nilivyochagua kubaki na Gari hadi Jumatatu sikumpigia tena simu kumjulisha uamuzi niliouchukua....nikapata majibu kwamba inawezekana hapo ndipo nilipo haribu, alikuja kwenye desk langu na kuniambia "nipatie funguo ya Gari na ukimaliza kazi nitafute" hata hakunisalimia akatoka nje ya ofisi akaondoka....
Muendelezo [emoji1484]
Ilivyofika saa tisa alasiri nikawa nishafunga makashabrasha yangu, nikamcheki Mzee, akanambia nimkute hoteli flani, kweli nilivyofika kwenye Ile hoteli nikakuta ile Alphard imepark kwa nje nikampigia simu, akanielekeza nikachoma ndani nikamkuta Mahali amekaa anakunywa Cappuccino, akamuita muhudumu akanambia niagize mm nikaitisha Passion Juice, Mzee akaanza kwa kuniuliza maswali "Nyumbani unaishi nani?" Nikamwambia peke yangu Mzee "Nakumbuka uliwahi kunambia kwamba Wazazi wako pia wanaishi hapa mjini, Ukiachana na Wazazi wako una ndugu wengine wanaishi hapa Dar?" nikamjibu ndio wapo wengi tu
"Okay! unajua ni vigumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi lakini ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu, ww upo tofauti na vijana wengi wenye umri kama wa kwako, nakuambia haya kwasababu Mimi vijana nawajua vizuri na wafanyakazi wangu wengi ni vijana, inawezekana wewe unalijua hili lakini vijana wengi hawajui kwamba ikitokea mtu amekuamini kwa haraka ujue kashaandaa mazingira flani ya kupambana na matokeo hasi, Ile siku Wakati nakuacha nyumbani kwangu Ile nyumba ilikuwa na Pesa nyingi sana, baadhi ya pesa zilikuwa sehemu ya wazi kabisa ila kwa haraka niliyokuwa nayo nilisahau hata kuzihifadhi mahala sahihi, kabla ya kukupigia simu wewe na kukupa maagizo ya kuingia chumbani kwangu nikakumbuka kwamba sijaweka mazingira sawa hivyo nilimpigia mmoja wa vijana wangu ninaowatumia katika kazi zangu za mjini nikampa maagizo aje maeneo ya nyumbani kwangu alivyofika ndio nikakupigia wewe, kwahiyo maeneo yote uliyokuwa unazunguka na gari Mimi taarifa nilikuwa nazipata huku nikihakiki kwenye system, Kitu nilichokipenda kutoka kwako ni kwamba ulifocus na maelekezo niliyokupa kuanzia nyumbani kwangu yani hukutaka kugusa hata heleni ya mke wangu, unajua unaweza ukawa sio mdokozi lakini kama ungeanza kugusa hiki mara kile tayari ningeanza kukutilia shaka, kila mtu ana tamaa lakini wachache wanaweza kujicontrol, Ukiachana na tamaa kingine nilichokipenda kutoka kwako ni sio mtu wa kurahisisha mambo, Nilipokupa kazi ya kugawa chakula kwa wenye uhitaji ulifanya kwa moyo wote kama vile nakulipa pasipo usimamizi angekuwa mtu mwingine angerahisisha hata kwa kugawa kwa watu anaowajua yeye"
Sawa Mzee Nimekuelewa lakini kama sijakuelewa pia, Yani maelezo yote haya yanamaanisha kwamba hukuniamini? "Hapana kijana wangu nilikuamini sana na umezidi kuweka mizizi ya kuendelea kukuamini, Nilichokuwa nakifanya nikujitengenezea mazingira ya kutojilaumu badae kwa chochote ambacho kingetokea kwasababu sisi ni Binadamu tuna madhaifu lolote linaweza kufanyika, unajua hata Ugonjwa unapoanza ni rahisi kuutibu lakini si rahisi kuugundua. Lakini kadri unavyokua, inakuwa ni rahisi kuugundua lakini ni vigumu kuutibu." Kiukweli nilikuwa nishaingiza baridi sikutegemea maneno haya kutoka kwa Mzee kwa vile nilivyomuona Ofisini nilijua kuna mahali nimeharibu,
Kumbe saa Ile Mzee anaingia Ofisini Dakika kama mbili nyuma Mzee alitoka kupokea simu iliyomkasirisha sana, na hakuwa comfortable kunielezea ni nini kimetokea, alinambia tu "Leo nilikuwa najua kabisa siku yangu inaenda kuisha vibaya, acha niende nyumbani kupumzika ni refresh akili nijue nakabiliana vipi na hili jambo, Kila Kitu kikiwa sawa nitakutafuta tuongee mengi zaidi ikiwemo Biashara lakini kuna mtihani hadi ufanye na ufaulu ndio nitakuonesha ulimwengu wa kibiashara wenye mafanikio, kwasababu sio wote Wanaofanya Biashara wanafanikiwa, wengi wanafeli na wanafelishwa na mambo ambayo pengine wanayajua ila wanayapuuza, kila mafanikio yanajumuisha maelfu ya vitendo vya ujasiri"
Nikajisemea moyoni haya ndio mambo niliyokuwa nayataka ila sasa huu mtihani ni mtihani gani tena, Mzee kakaa ki CIA CIA nitatoboa kweli huo mtihani?
Hayo ni mambo niliyokuwa najiuliza kichwani Wakati Mzee ana clear bill pale hotelini, tukaagana mzee alinichukulia moja ya tax zilizokuwa zimepark nje ya Ile hoteli, yeye akaingia ndani ya Alphard akaondoka na Mimi nikashika njia ya kuelekea Tabata
Sasa huo mtihani ndio umesababisha kuanzisha huu Uzi, naona episode zinaenda kuwa 3 badala ya 2 kama nilivyopanga mwanzo hii nikutokana na pressure za baadhi ya memba humu imenibidi niipost hivyo hivyo bila kuikamilisha yote
Ni kweli usemayo ndugu ila na kutahadhalisha usije pata mwenye wivu mbaya utapotezwa nasema tena utapotezwa.h akikisha upo sawa na Mungu ukiyumba ukipigwa kipapai umekwisha habariyako.Tokea nimenza harakati za utafutaji sijawahi kukanyaga kwa mganga na maisha yangu sio mabaya sana, sitarajii kuwepo siku nitaenda kwa mganga kwa sasa nipo njiani kuulekea utajiri, japo utajiri una mapana na marefu yake ila tujuwe tu upo uwezekano wa kuwa tajiri bila nguvu za giza.