Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kila la kheri mkuu[emoji848]
 
Kwani mada inahusu kwenda kwa mganga!?
Watu wanawaza uchawu tu. Yaani washaanza kumhukum mtoa stori. Tatizo shuguhuli nyingi za watz zinahusisha usiri mkubwa unaotoana na uharamu wake kama wizi, ujambazi, kuuana, kulogana n.k
 
Kabla hujamaliza story nakushauri kuwa makini au achana kabisa na huyo tajiri atakuwa na mambo mabaya sana yaliyofichika. Ila nasubiri kwa hamu umalizie story ni nzuri sana na ina mafundisho mazuri.
 
Ni kweli usemayo ndugu ila na kutahadhalisha usije pata mwenye wivu mbaya utapotezwa nasema tena utapotezwa.h akikisha upo sawa na Mungu ukiyumba ukipigwa kipapai umekwisha habariyako.

Najuta mimi apa
 
Hii story inabidi iende episode 10

Watu washaingiwa alosto, episode tatu utakua ni ukatili wa hali ya juu sana
BM X6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…