Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Patamu halafu BM mbona kama inaonekana wote wanakupenda
 
Umeongea kimamlaka zaidi. Kibabe
[emoji848] mbn kauli nyepesi huyo Madam na emoji za tabasamu juu........, tatizo sisi Wachaga huwa tunaongea vizuri na hela pamoja na juice tuuu[emoji3][emoji3]..... Ingekuwa juice ningeanza kuibembeleza isinilaze mtaroni kama juzi
 
Ila BM unanyodo sana.

Kuanzia siku ile hadi sikukuu ya Noel? Khaaaa!


Kipi cha kutuweka likizo isiyo la lazima?

Uzi umeanza mwenyewe maringo unaleta mwenyewe, hivi tangu utuache hukai,huandiki? Huingii humu? Hu comment?

Saaa shida ni ipi...hemb acha hizo bana, ndio maana Caryn anaku sanukiaga
 
Mkuu si tulikubaliana hadi Pasaka?
 
Ulikubaliana na Nani ? Yani unajiamlia wewe mwenyewe tu halafu unakuja na simple answer tu. Na hiyo kesho ndio kitakuwa kipande kimoja tu sio ee
Duuuh!!! Mkuu unamlipa bei gani huyu bwana BM X6 per episode?? Mana naona Kama unamdai pesa ambayo kala Sasa hataki kukupa huduma[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ulikubaliana na Nani ? Yani unajiamlia wewe mwenyewe tu halafu unakuja na simple answer tu. Na hiyo kesho ndio kitakuwa kipande kimoja tu sio ee
Kama unataka kuamua wote basi zamu yako kuindeleza
 
Kama unataka kuamua wote basi zamu yako kuindeleza
Lazima aambiwe ukweli bhana ili ajue, mbona wasanii huwa tunawadai nyimbo Sisi mashabiki? Unadhani huwa tunawalipa kutupa huduma ya muziki?

La huwa hatuwalipi lakini mwisho wa siku huwa tunawadai na wanajitetea kwetu kwa kutupa kile tukitakacho.

Mfano mzuri ni Alikiba. Alikiba aliwahi kuwa kimya Kwa kipindi kirefu kiasi hadi mashabiki wakawaka na hatimae akaja na mangoma ya kila aina na moja ya ngoma ya kwanza kuachia ilikuwa inaitwa 'Mwana Dare es Salaam' kisha zingine zilifuata. Unadhani mashabi tungekaa kimya angesanuka? La hasha asingesanuka mwishowe pengine angepotea.

Ukiwa msanii wa Sanaa yoyote na ukiwa chumbani kwako hujafahamika mathalani, wewe hudaiwi na mtu. Lakini ukatoka nje kwenye hadhira nayo hadhira ikakukubali, basi lazima udaiwe tu. Hii ndio maana halisi ya huyu msanii wetu bwana BM.

Bwana BM tayari yupo nje na hadhira inamtazama, ameifanyia uraibu mkubwa hadhira hiyo na hainabudi kumdai kazi yake aliyoianzisha.

Vuta taswira Hayati Mh.Mkapa angefariki bila kumalizia hadithi ya Maisha yake aliyoisimulia kitabuni unadhani tungemuelewa? La hasha asiingeeleweka ila kwavile aliimaliza basi hamna deni.

Hivyo basi huyu bwana BM inampasa kuituliza hadhira hii kwa uraibu mkubwa iliyonao.
Atusimulie amalize. Aweke vipande hata vinne ili akiondoka hata wiki mbili kusiwe na shida, lakini eti tu kipande kimoja halafu anatokomea karibu majuma mawili aaa siyo sawa kabisa.
 
Sijamaliza kuisoma ngonjera yako yote, ila kifupi huwezi kuwafananisha wasanii na mleta story humu JF. Wasanii unawalipa japo unawalipa sio kwa njia ya direct kama unayowaza wewe.

Hujajiuliza msaanii anategemea kuimba tu,lakini ana kipato kikubwa?. Unafikiri anakipata wapi hicho kipato kama sio wewe moja kwa moja kuhusika kumlipa?. Au akili yako unawaza anakuimbia wewe nyimbo bure,kipato alichonacho analipwa na MUNGU?
 
Slow down bro, Leo si ndio Pasaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…