Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Asante ila jikaze uandike andike
 
Asante bro kwa mwendelezo, lakini mbona inaonyesha itaendelea sana tofauti na ulivyosema jana?

Yote ya yote asante na tunaendelea kukungojea.
Ila bora ujikite kwa mzee tuu hao wengine wa kunogesha ni kama wanapoteza mantiki.
 
“Ni ngumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi ila ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu”

“Ni rahisi kuutibu ugonjwa unapoanza ingawa ni ngumu kuugundua, ni ngumu kuutibu ugonjwa uliokwisha kua ingawa ni rahisi kuugundua”
Bonge la Msamiati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…