Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sasa huyo jamaa wa china mbona ana quit? Na inaonekana mzee amawekaga watu wake anaowaamini yeye sasa huyo wa china ni nani yake
 
Kwahiyo mkuu BM X6: Muendelezo ni mwaka gani tena? Maana hapo tulipofikia hakuna namna tunaweza kuishi kwenye mateso haya.

Tafadhali sana,walau kila wikiendi tupate episode 2/3 kama hautojali. Tunajifunza mengi sana kupitia hii story. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Muendelezo sidhani kama itapita weekend, ila muendelezo utakaofuata baada ya huo nitakaopost ndio tutatafutana, coz matukio ya kuandika yatakuwa hamna
 
Hili Jina umempa ukijua jamaa kaenda China sio.... je kama jamaa kabaki Bongo?
Huyo jamaa wa kwenda China yaani mm kabisa daaa kwenye maisha haya usipokuwa siriazi mzee hatari.
 
Hiyo Another day to remember naona jamaa kawa unqualified kwa caryn, ukizingatia jamaa kaweka bondi TV yake ya milioni kwa 300k

Kwahiyo hilo furushi la lawama umelibeba wewe.
 
Tuko pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…