Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hiyo another day to remember Bm umekula mzinga na Jeep wrangler nini[emoji848]
 
Oya J wizzy naona Mafian Cartel nae kaitabiria Another day to remember kama alivyotabiri Premij canoon...je ameingia kwenye list ya watakaoshangwa namatukio yatakavyo kwenda opposite au kapatia?
Na yeye pia atashangazwa.

Mimi nikionacho, a day to remember inaweza kuangukia kwenye matukio mawili;

1: Visiting day ya mzee kwenye makazi yenu na

2:Kukataliwa kwa mchina kwenda abroad ilihali nguvu kubwa imetumika.

By the way sina uhakika hata kidogo na nini haswaa kipo kwenye 'a day to remember ' inabaki kama fumbo tu. Ila ni boonge moja tukio litakalodetermine Muendelezo wa hii story kiujumla. That's what I guess..
 
Ahahh, Sadly na wewe pia Utashangazwa vile vile

Naona wote mnatoka nje ya reli, ebu tusubiri kesho muendelezo unaweza ukaweza
 
a day to remember ni kuhusu kijana wa Buguruni yupo wapi?? maana Bm x6 kampotezea kitambo , baba carlin/ Michelle anapenda kujua alipo ,,, MB x6 kaambiwa nipeleke kazini kwa kijana wa Buguruni na BM x6 hajui kama anaendelea na kazi ya kutengeneza sofa au la. sasa ndo mziki uliopo over..
 
Ahahh, Sadly na wewe pia Utashangazwa vile vile

Naona wote mnatoka nje ya reli, ebu tusubiri kesho muendelezo unaweza ukaweza
Moja ya kazi ngumu zaidi duniani ni kutabiri kitu kilichopo kwenye kichwa cha mtu [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Oya J wizzy naona Mafian Cartel nae kaitabiria 'Another day to remember' kama alivyotabiri Premij canoon...je ameingia kwenye list ya watakaoshangwa namatukio yatakavyo kwenda opposite au kapatia?
Ntashangazwa sio[emoji28][emoji28]
 
A day to remember,Mzee anajua tayari Careen anaishi na wewe, anakuja kuhakikisha tuu Caren kashatema habari.
Uaminifu wako utaongeza Credit kwa Annie bila ya kumpapalikia Caren.
 
A day to remember,Mzee anajua tayari Careen anaishi na wewe, anakuja kuhakikisha tuu Caren kashatema habari.
Uaminifu wako utaongeza Credit kwa Annie bila ya kumpapalikia Caren.
Umejitahidi, hili kweli lilitokea lakini sio kwenye A day to Remember
 
Mkuu Mafian cartel Picha zimekubali kufunguka ndio nimeziona Leo,

Bila kupepesa macho yule Agent namjua (ila sio Mimi), Ma-Agent na Ma logistic Manager tunafahamiana kwasababu tunatumia wote ndege moja, Air Tanzania na Ethiopian Airway kwahiyo mara nyingi ratiba huwa zinafanana.

Huyo Agent najua hadi Kampuni anayofanyia kazi, actually ndio hiyo hiyo uliyoiona Insta na Mimi ananijua ila kwa Nickname lakini sio nickname hii BM X6

Hizo Air Cargo zipo nyingi sana japokuwa wengine wanapiga miguu yote yote yani Air Cargo na Cargo Ship

Baadhi ni kama

Kaluu Express Air Cargo

Ngoka Express Air Cargo

Huru Express Air Cargo

Sifex Air Cargo

Tan Air Cargo

Rapid Express Air Cargo

Takes Express Air Cargo

Barhi Express Air Cargo

African Express Cargo

Target Express Air Cargo

Epic Express Air Cargo

SSI Air Cargo


NB: Katika hizo nilizozitaja kuna Kampuni ya Mzee pia
 
Umeongoa point sana. Mimi ni muoga wa maisha hatari. Hapa nilipo nina stress hatari. Kuna hela nimeipoteza milioni 65 kwenye uwekezaji wa madini hadi wife tumetibuana. Yaaani daah. Imenifanya mpaka kichwa kinazunguka. Ukicheck hiyo hela nimeipambania zaidi ya miaka 8. Tarehe 06/ mwezi wa 3 ndio nimechenjua nimepigwa hasara hiyo milioni 65. Inakuwa kama niko ndotoni. Sijawahi kupata hasara kubwa hivi. Imenichanganya hatari
 
Bado Tsh elfu hamsini na tano (55,500)
Pole sana sijaingia kitambo hapo. Ila jana nimeingia inbox kwako baada kukumbuka Jambo. Hapa sijaingia kitambo. Pole sana. Najua utakuwa tayari ulikamilisha? Kama bado tuendelee kutupia mkuu. Kama tayari tunawashukuru pia waliochangia. Au ngoja nisome mpaka chini labda kuna mambo mliazimia
 
Mkuu nina shida, nimejaribu kukucheki kwenye Ile namba yako uliyoiweka hapa lakini nahisi aliyepokea sio ww maana hata hatujaelewana
 
Hahaha Dot zangu hazijaconnect ila zilikua zinakaribia asante kwa ufafanuzi Mkuu[emoji28]

Imebaki kuotea tu Kampuni hapo kutoka kwenye list[emoji28]
 
Sio siri we mwamba unajua kuandika,hasa hasa kupangilia matukio kwenye mtiririko wa kueleweka sana. Hongera
 
Aysee acha tu, kuna tufani hapa katikati lilinipitia, Hadi sasa hivi sija recover lakini at least mambo si mabaya
 
Mkuu nina shida, nimejaribu kukucheki kwenye Ile namba yako uliyoiweka hapa lakini nahisi aliyepokea sio ww maana hata hatujaelewana
Ile namba sio Official kwangu mkuu, kuna Dogo nipo nae ndio namba yake anaitumia Nadhani ndiye uliyeongea nae
 
Kwa informations hizi nnaweza kuvunja code na kujua kampun ya mzee. Careen na wote.. [emoji16]
 
Hahaha Dot zangu hazijaconnect ila zilikua zinakaribia asante kwa ufafanuzi Mkuu[emoji28]

Imebaki kuotea tu Kampuni hapo kutoka kwenye list[emoji28]
Kama unakujaga Bandarini mara kwa mara na umeshaonana na huyo jamaa, I'm sure pia Mimi utakuwa umeniona sema ndio hivyo codes zimezingatiwa, japokuwa na onana na watu humu bila wao kujua wameonana na BM

Na kama siku ukiiotea Ofisi yetu basi kwa haraka haraka mtu utakaye mjua ni Caryn ila Sasa ni hadi uombe kuonana nae Kama shida yako ipo sensitive zaidi maana wateja wengi wakitoka store wanapitia kwa Accountant na kwa Secretary wamemaliza

Ndio maana watu ninaowapata humu kama wanashida ya kusafirishiwa mizigo huwa nawapeleka Kampuni fulani ili codes ziendelee kuwa safe

Kama Kuna jamaa flani alinicheki humu alikuwa anataka huduma, nikamkutanisha na Dogo flani, huyu Dogo alikuwa Dereva Kampuni flani akaacha akahamia Kampuni nyingine ya Cargo kama Salesman

Sasa jamaa nilivyomkitanisha na Dogo kwa mawasiliano mwisho wa siku jamaa akaagiza mzigo kupitia hiyo Kampuni huku akidhani kwamba Ile ndio Kampuni ninayofanyia kazi, maana siku anaenda kuchukua mzigo Dogo ananiambia kuwa aliniulizia

Uzuri nilikompeleka jamaa huduma ni nzuri so hakuwa disappointed na commission yangu nilikula, kwahiyo wakuu kama mna mizigo yetu kutoka china na inahitaji kusafirishwa kuja Bongo nichekini tu bila wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…