Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Wale wale ndio nini, wewe ni TEJA wa hii story......Mimi kama jambo silielewi huwa napita hivi bila kelele...Wewe hii story imekufanya kuwa TEJA ndio maana una keleleSintajibu hili. Walewale tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale ndio nini, wewe ni TEJA wa hii story......Mimi kama jambo silielewi huwa napita hivi bila kelele...Wewe hii story imekufanya kuwa TEJA ndio maana una keleleSintajibu hili. Walewale tu.
sawaAiseeeeee
Wewe umepangiwa zamu ya kuchambua mchele na mkeo? Yeye BM kapangiwa tena na mwanamke ambaye siyo wake ila anaishi nae na hapigi maneno! Ila analipiwa kodi tu na kupush ndinga kali kali za mzee [emoji1]Hizi sasa mbona ni chuki binafsi
Nimeangali profile yako, umejiunga 2011.Wewe umepangiwa zamu ya kuchambua mchele na mkeo? Yeye BM kapangiwa tena na mwanamke ambaye siyo wake ila anaishi nae na hapigi maneno! Ila analipiwa kodi tu na kupush ndinga kali kali za mzee [emoji1]
Umemaliza?Moderator
Maxence Melo
Kuna wakati mnakosea sana kwa kuwaachia watu aina ya Hossam kudhalilisha wasimuliaji wanaojitoa kuburudisha na kule mvuto watu kuingia jf.
Ufike wakati muwalinde wadau wenu wanaoendeleza uhai wa jf.
Mnaachaje watu wanashambuliwa bila sababu wala ushahidi?
Utafika wakati watu wataohopa kuanzisha stori kwa ujinga huu mnaouruhusu.
Stori nyingi zinaishia njiani kwasababu mnaruhusu watu kushambuliwa bila sababu.
Ukosoaji ni mzuri huongeza umakini lakini huu anaoufanya Hossam ni udhalilishaji.
Je mnasubiri tuvutane mje kutupiga BAN?
CHUKUENI HATUA MAPEMA
Invisible
Maxence Melo
Moderator
Hizo ndiyo lugha za kijinga na unaweza kula BAN au warning!Sijaanza bado lete mkei niufyatue
Wewe huhoji umeenda mbali zaidi, unamtusi na kumdhalilisha BM X6Hata sisi walaji wa huduma za wasimuliaji tunahaki ya kuhoji huduma mbovu wewe wacha woga! Kila nilichoandika ni yeye BM ndiyo alisimulia. Unashoboka na lugha yangu au presentation hujapenda? Wacha hizo maneno jaribu kuwa critic. Wewe Ontario hakukupiga hela? Juzi huyu BM hakuomba hela? Sasa wapi nimemdhalilisha? Unajua kudhalilishwa wewe?
Yeye alisema kalipiwa geto na binti, mimi nikirudia hilo ndiyo wewe unaona namdhalilisha? Wacha ushamba!
Tunga yako sasa kama ni rahisi uwazavyo...? Unakaza fuvu tupe hadithi ya kutoka katika utashi wako.Hata sisi walaji wa huduma za wasimuliaji tunahaki ya kuhoji huduma mbovu wewe wacha woga! Kila nilichoandika ni yeye BM ndiyo alisimulia. Unashoboka na lugha yangu au presentation hujapenda? Wacha hizo maneno jaribu kuwa critic. Wewe Ontario hakukupiga hela? Juzi huyu BM hakuomba hela? Sasa wapi nimemdhalilisha? Unajua kudhalilishwa wewe?
Yeye alisema kalipiwa geto na binti, mimi nikirudia hilo ndiyo wewe unaona namdhalilisha? Wacha ushamba!
Lazima ujibiwe kulinga na kiwango cha upumbaf wako.Hizo ndiyo lugha za kijinga na unaweza kula BAN au warning!
Wastage of time! Nenda bungeni kagonge meza kila hoja bila kuhoji kama wanavyofanya wenye mtazamo wako. Lazima ujifunze kuhoji kwa namna mbalimbali kijana!Tunga yako sasa kama ni rahisi uwazavyo...? Unakaza fuvu tupe hadithi ya kutoka katika utashi wako.
Hawezi loloteTunga yako sasa kama ni rahisi uwazavyo...? Unakaza fuvu tupe hadithi ya kutoka katika utashi wako.
Onyesha tusi wacha kudandia yasiyokuhusuHawezi lolote
Nina shaka na uelewa wako. Mkuu naona unaumiza sana shingoLazima ujibiwe kulinga na kiwango cha upumbaf wako.
Ukichekewa utatuona wote mafalla kama wewe.
Niko tayari wani ban lakini sio kuacha udhalilishaji huu usio na sababu
Uzi wa kibwege huu. Siku hizi Dar tumebaki wanaume wachache sana. Wengi wavulana na waliogeuzwa jinsia.Mkuu kwa replies zako humu unaonekana kabisa unapiga gambe[emoji28][emoji28][emoji28] tena sio vibia hivi vya watoto ila ni vitu konki...
Uko wapi Mkuu leo tukapige hata black & white moja tupate experience ya maisha kidogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najua kabisa nikinunua b&w moja lazima uitishe vant kwa meza[emoji3][emoji3]
Anyway leo uzi uko hot sana bado kijana wangu wegero kwetu na mwenzie Chizi Maarifa hawajatia timu humu
Umekaa vijana... Sogea huku kidogo.Ukauze maembe kwanza wewe